Recent Posts

Mashambulizi makali yaendelea Hodeidah

hodeidah, yemen

Mamia ya wapiganaji wameuliwa huku majeshi ya serikali yakiyakabili majeshi ya waasi katika nji wa Hodeidah nchini Yemen. Madaktari katika hospitali za eneo hilo wamesema waasi 47 waliuliwa kufuatia mashambulio ya angani. Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limewalaumu waasi wa Yemen kwa kuzifanya hospitali …

Read More »

Raila Odinga: Je, majukumu mapya yatambana kwenye siasa za Kenya?

Uteuzi wa kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga kama mwakilishi mkuu wa Umoja wa Afrika kuhusu maendeleo ya miundo mbinu barani Afrika kumefungua awamu mpya katika maisha ya kisiasa ya kiongozi huyo wa upinzani nchini Kenya na kuzua mjadala mpya kuhusu hatima yake katika siasa za Kenya. Katika uteuzi …

Read More »