Home / komaji

komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Man United iko mbioni kumtangaza Mkurugenzi wa michezo

Golikipa wa zamanI wa Man United Edwin Van De Sar anatajwa kuwa na nafasi kubwa kuwa mkurugenzi wa michezo Klabu ya Man United iko katika mpango wa kumtangaza Mkurugenzi wa michezo wa timu hiyo baada ya klabu hiyo kushindwa kufanya vyema katika dirisha kubwa la usajili Katika mchakato huyo naibu …

Read More »

Daraja lavunjika na kuuwa watu 22 huko Italia

Daraja la mwendo kasi laanguka Daraja la barabara ya mwendo kasi limevunjika huko kaskazini mwa Italia katika mji wa Genoa na kusababisha vifo vya watu takribani 22. Picha ya video inaonyesha upande mmoja wa mnara ulisababisha daraja kuanguka kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya. Magari yaliangukia katika upande wa …

Read More »

Aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya Chama cha upinzani (CUF) Julius Mtatiro ,kuhamia CCM Maswali mengi yamezuka mara baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF) Julius Mtatiro ,kujivua uanachama wake na kuhamia chama tawala cha CCM. Mtatiro ni mwanasiasa ambaye pia ni mchambuzi …

Read More »