Home / Slider

Slider

All videos for slider here

Wabunge watwangana makonde Uganda

Wabunge nchini Uganda wamepigana ndani ya ukumbi wa bunge Wabunge nchini Uganda wamepigana ndani ya ukumbi wa bunge wakiwa katika siku ya pili ya kikao cha kujadili wa muswada wa kuondoa ukomo wa miaka ya kugombea nafasi ya urais kwa mjibu wa katiba ya taifa hilo. Katika ugomvi huo wabunge …

Read More »

Kimbunga Irma chawasili Cuba

Kimbunga Irma kikiandamana na upepo mkali. Kimbunga hicho ambacho kimeendelea kuimarika saa chace zilizopita kinatarajiwa kuathiri miji ya pwani. Kifikia sasa watu ishirini wamerikpotiwa kufariki katika visiwa vya Carebean. Msemaji wa kituo cha kushughulikia majanga, nchini Marekani,amesema kimbunga hicho huenda kika-muangamiza mtu yeyeyote ambaye hatajiepusha nacho. Kumeshuhudiwa msongamano mkubwa wa …

Read More »

TCRA yatoa leseni vituo 32 vya TV

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa leseni kwa vituo 32 vya televisheni hapa nchini. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura alitaja idadi ya vituo hivyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbinga Vijijini, Martin Msuha (CCM). Msuha alitaka kujua kuna vituo vingapi vinarusha matangazo kwa njia …

Read More »