Home / Makala

Makala

Jakarta, mji unaozama kwa kasi ya juu zaidi duniani

Mji mkuu wa Indonesia Jakarta ni nyumbani kwa watu milioni 10 lakini mji huo pia unazama kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa hatua hazitachukuliwa sehemu za mji huo mkubwa huenda zikazama kabisa ifikapo mwaka 2050 kwa mujibu wa watafiti. Mji huo uko eneo lenye kinamasi kando mwa bahari, huku mito 13 …

Read More »

Mwanasaikolojia achambua sababu za mtu kujitoa uhai

KIFO cha mwanasayansi kikongwe wa Australia, David Goodall (104) aliyetimiza azma yake ya kujiua kwa msaada wa kuchomwa sindano katika hospitali moja nchini Uswisi, kimetajwa kutokana na sababu ya nane na ya mwisho ya nadharia ya saikolojia. Akizungumzia sababu ya kikongwe huyo kuamua kumaliza uhai wake kwa msaada wa dawa, …

Read More »

Chakula cha Wahadzabe cha matunda na nungunungu Tanzania

Jamii ya Wahadzabe ni moja kati ya makabila yaliyobaki duniani yanayoendeleza shughuli za uwindaji, inadhaniwa kuwa jamii hii imeishi kaskazini mwa Tanzania, ikila matunda na mizizi, na aina mbalimbali za wanyama kwa miaka 40,000. Mwandishi wa BBC, Dan Saladino alikwenda kuwashuhudia wakikusanya na kuwinda, na kuchunguza iwapo lishe yao ni …

Read More »

Ziwa Ngozi, kivutio cha utalii Nyanda za Juu Kusini

ZIWA Ngozi ni la pili kwa ukubwa katika maziwa yaliyotokana na volkano barani Afrika. Ziwa hili linapatikana karibu na Tukuyu, mji mdogo wa Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya. Ziwa hili linalovutia watalii wengi kwa sasa liko umbali wa kilomita 38 tu kutoka Mbeya mjini. Ni sehemu ya mgongo wa …

Read More »

Korosho ni ‘mboni’ ya Tanzania kiuchumi

FEBRUARI mwaka huu Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) ilianza mpango wa kugawa bure miche ya korosho kwa wakulima ili waongeze uzalishaji wa zao hilo. Katika mkutano wa wadau wa korosho uliofanyika Mtwara mwaka huu, ukiwashirikisha wajumbe wengine wakiwamo wakuu wa mikoa ya Lindi, Pwani, Tanga, Mtwara na Ruvuma inaelezwa umuhimu …

Read More »

MCHANGO WA MWANAMKE KWENYE KILIMO UTAMBULIWE.

MCHANGO wa sekta ya kilimo katika ukuaji wa uchumi na maendeleo nchini umeendelea kuongezeka katika miaka ya hivi karibuni ambapo katika kipindi cha mwaka 2015, kilimo kilichangia asilimia 29 ya pato ghafi la taifa ikilinganishwa na asilimia 28.8 kwa kipindi cha mwaka 2014. Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha …

Read More »

NAPE: HABARI LEO NI REJEA YA WALEDI KATIKA TAALUMA YA HABARI.

MIONGONI mwa wadau muhimu katika maendeleo ya sekta ya habari nchini ni Waziri mwenye dhamana ya kusimamia sekta hiyo. Waandishi wetu, Nicodemus Ikonko na Oscar Mbuza wamefanya mahojiano maalumu na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, kuhusu maadhimisho ya miaka 10 ya uhai wa HabariLeo, kama ambavyo …

Read More »