Home / Habari Za Kitaifa

Habari Za Kitaifa

Magufuli akutana na mkurugenzi wa Benki ya Dunia

rais magufuli

Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amekutana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini humo kuzungumzia miradi mbalimbali inayofadhiliwa na benki hiyo. Hata hivyo, utata bado unaendelea kuhusu msaada wa dola 50 milioni za Marekani ambazo benki hiyo ilikuwa inatarajiwa kutoa kwa taifa hilo. Taarifa iliyotumwa na Mkurugenzi wa …

Read More »

Kauli ya Rais Magufuli juu ya sakata la Makontena

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wote nchini kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria sambamba na kuhakikisha wanasimamia ipasavyo matumizi ya rasilimali za umma kwa maslahi ya wananchi. “Kwa mujibu wa sheria ya Madeni, Dhamana na Misaada Namba 30 ya mwaka 1974 (kama …

Read More »

Standard Chartered Kutoa Trilioni 3.3/- za SGR

Benki ya Standard Chartered Group imekubali kuipatia Tanzania mkopo nafuu wa Dola za Marekani bilioni 1.46 sawa na zaidi ya Sh trilioni 3.3 kwa ajili ya kujenga kipande cha Reli ya Kiwango cha Kimataifa (SGR) kuanzia Morogoro hadi Makutupora, mkoani Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ameyasema …

Read More »

Utata Kuondolewa Chaneli Zisizolipiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeombwa kuwaelimisha Watanzania, kuhusu kuondolewa kwa chaneli zisizolipiwa kwenye visimbuzi vinavyotoa maudhui kwa malipo. Ombi hilo lilitolewa na wadau wa habari nchini na wanasheria kutokana na ukweli kuwa pamoja na Kanuni na Masharti ya Leseni kuweka zuio la visimbuzi hivyo kurusha chaneli zisizolipiwa, bado kuna …

Read More »

Machinga Kuondolewa Ubungo

Serikali imeagiza wafanyabiashara ndogo maarufu ‘machinga’ kuondolewa eneo la Ubungo, Dar es Salaam, kupisha shughuli za ujenzi wa barabara za juu unaoendelea katika eneo hilo. Agizo hilo lilitolewa jana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara hizo na ujenzi wa daraja la juu …

Read More »

Mwenyekiti Halmashauri Mbaroni Kwa Kuhamisha Bila Kulipa

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Nicodemas Mwangela amempeleka mahabusu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Elick Ambakisye kwa kuwahamisha wafanyakazi wa vituo vya afya kabla ya kuwalipa mafao yao. Kwa kufanya maamuzi hayo anadaiwa kukiuka agizo la Rais John Magufuli kwa kuwataka watumishi wasihamishwe bila kupewa mafao yao. …

Read More »

Pengo, Pinda Watajwa Maendeleo ya Kata

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amewakumbusha watu mashuhuri wakiwemo maaskofu waliosoma katika Seminari ya Kaengesa inayomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, watambue ni wadau wakubwa katika kuchangia maendeleo katika kata ya Kaengesa iliyopo katika Manispaa wa Sumbawanga. Miongoni mwa watu mashuhuri walisoma katika Seminari ya Kaengesa ni …

Read More »