Home / Habari Za Kitaifa (page 10)

Habari Za Kitaifa

Mradi wa Stiegler’s Gorge kuanza Julai

WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema kazi ya ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa nguvu za maji ya Mto Rufi ji eneo la Stiegler’s Gorge, unatarajiwa kuanza Julai mwaka huu. Dk Kalemani alisema jijini hapa jana kuwa hatua hiyo ya kuanza kwa mradi inatokana na kazi ya tathmini …

Read More »

IFM yazindua programu tatu za mafunzo

CHUO cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimezindua programu tatu za mafunzo zikiwemo shahada mbili za uzamivu katika masuala ya Uhifadhi wa Jamii, Sera na Maendeleo (MSPD) pamoja na nyingine ya Bima na Elimu ya Uhai wa Bima, kikiwa na lengo la kupunguza pengo lililopo katika jamii. Programu nyingine iliyozinduliwa ni …

Read More »

‘Msidanganyike kuvuruga amani ya nchi’

RAIS John Magufuli amewahakikishia Watanzania kuwa chini ya uongozi wake, serikali itaendelea kuboresha maisha ya wananchi wote kwa kuleta maendeleo ya aina mbalimbali, huku akiwataka kuilinda amani katika kuifi kia azma hiyo. Akifungua Barabara ya Uyovu-Bwanga, wilayani Bariadi mkoani Geita yenye urefu wa kilomita 45, Rais Magufuli alisema ‘’kupanga ni …

Read More »

Serikali kuichambua ripoti ya UN mauaji JWTZ Congo

SERIKALI imesema imeipokea ripoti ya uchunguzi maalumu iliyofanywa na Umoja wa Mataifa (UN) juu ya mashambulizi yaliyosababisha vifo vya askari 15 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), na kuahidi kutoa taarifa yake ndani ya wiki kuhusu mtazamo wake juu ya ripoti hiyo. Akizungumza na gazeti hili jana, …

Read More »

Mradi wa Ukanda Mmoja, Njia Moja wapata msukumo mpya

UTEKELEZAJI wa mradi wa Ukanda Mmoja na Njia Moja unaotarajiwa kuzinufaisha baadhi ya nchi za Kiafrika, Tanzania ikiwemo, umepata msukumo mpya baada ya kutajwa kuwa ni moja ya mambo yanayopewa kipaumbele na Baraza la Mashauriano la Kisiasa la China. Mradi huo ambao unagharimu mabilioni ya dola za Kimarekani unatarajiwa kufaidisha …

Read More »

Bandari wakanusha uvumi vichwa vya treni

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko amekanusha madai kuwa kichwa cha treni ya njia ya kati kilichopata ajali wakati ikienda Kigoma, siku chache zilizopita kuwa ni kimoja kati ya vile vinavyoshikiliwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Uvumi kuwa kichwa hicho ni kati ya vile vilivyozuiwa …

Read More »