Home / Habari Za Kitaifa (page 2)

Habari Za Kitaifa

MAJAMBAZI WATATU WARUNDI WAUAWA

POLISI mkoani Kigoma imewaua kwa kuwapiga risasi watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi kutoka nchi jirani ya Burundi na kukamatwa bunduki moja na risasi 69. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Martin Otieno alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Kakonko. Alisema majambazi wengine wanne waliokuwa katika tukio hilo, …

Read More »

TV ZA NDANI ZAONDOLEWA KWENYE VING’AMUZI

KUTOKANA na kusitishwa kwa upatikanaji wa huduma za maudhui ya ndani ya baadhi ya televisheni za nchini kwenye ving’amuzi, wananchi wameomba hatua stahiki kuchukuliwa ili huduma hizo zirejeshwe haraka. Jana ving’amuzi vya Zuku, Azam, MultiChoice na Star Times, vilisitisha kuonesha maudhui kutokea kwenye televisheni za Channel Ten, ITV, Star Tv, …

Read More »

UDOM KUDAHILI KWA MTANDAO

IDARA ya Teknolojia ya Mawasiliano (IT) ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) imesema wanafunzi wa mwaka huu wa 2018/19 watadahiliwa kwa kutumia mfumo wa mtandao. Akizungumza kwenye Maonesho ya Nanenane Nzuguni jijini hapa, mtaalamu IT wa Udom, Jane Mbuligwe alisema udahili huo unafanyika kwa haraka pungufu ya dakika 20. Alisema …

Read More »

UJENZI STENDI, SOKO KUAJIRI WATU 500

MRADI wa Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi na Soko la Kisasa jijini Dodoma unategemewa kuzalisha ajira zaidi ya 500 zitakazowanufanisha wakazi wa jiji la Dodoma. Hayo yalielezwa na Mkurungenzi wa Kampuni ya Mohammed Builders inayojenga soko na stendi jijini Dodoma, Mohammed Jafferji wakati akizungumza katika eneo la ujenzi wa …

Read More »

KING MAJUTO KUZIKWA TANGA

MWILI wa nyota wa maigizo na vichekesho nchini, Amri Athuman (70) maarufu kwa jina la King Majuto unatarajiwa kuzikwa Tanga kesho. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba amesema, mwili wa mzee Majuto utasafirishwa leo jioni kuupeleka mkoani humo. King Majuto aliaga dunia jana saa moja na nusu usiku …

Read More »

MKAPA ATAKA FIKRA MPYA, BIDII

Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa amesema ili taifa liweze kupiga hatua kiuchumi, lazima watu wabadilishwe fikra zao wapende kufanya kazi kwa bidii. Amewataka wananchi kuendelea kushirikiana na serikali kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji huku akisisitiza watendaji kukamilisha maandalizi ya mipango ya matumizi bora …

Read More »

HOSPITALI 24 ZANZIBAR KUUNGANISHWA MKONGO WA TAIFA

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inakamilisha mpango wa kuunganisha hospitali 24 katika Mkongo wa Taifa kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma za afya. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Teknolojia (Tehama) wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa SMZ, Dk Mzee Suleiman Mndewa wakati akizungumza na …

Read More »

WALE WA ‘NITUMIE FEDHA HUMU’ KORTINI

WATU 13 wanaodaiwa kutuma ujumbe wa maandishi kuomba kutumiwa fedha, wamefi kishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi ikiwemo utakatishaji fedha wa Sh milioni 154. Washitakiwa hao; ni Boniface Maombe, David Luvanda, Moshi Sungura, Amos Bosco, Lule Kadenge, Jofrey Kapangamwaka, William Nturo, Regius Mauka, …

Read More »

MKAPA ATUA SIMIYU KUFUNGA MAONESHO YA NANENANE

RAIS Mstaafu awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa amewasili mkoani Simiyu leo Jumanne kwa ajili ya kufunga sherehe za Wakulima maarufu kama ‘Nanenane’ kesho Jumatano. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka amempokea kiongozi huyo mstaafu ambaye wakati wa utawala wake alikuwa akisisitiza ‘Uwazi na Uwajibikaji”. “Rais Dkt. John Maguguli …

Read More »