Home / Habari Za Kitaifa (page 20)

Habari Za Kitaifa

DCI anena kuhusu Lissu, Ben Saanane, Azory

MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz amesema Jeshi la Polisi bado linaendelea na upelelezi juu ya tukio la kushambuliwa kwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema). Amesema matukio mengine, ambayo jeshi hilo linayafanyia kazi kwa nguvu zote ni suala la kupotea kwa aliyekuwa …

Read More »

Magufuli ataka Airtel kurejeshwa serikalini

RAIS John Magufuli amemuagiza Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Phillip Mpango kufuatilia Kampuni ya Simu ya Mkononi ya Airtel ili kujua ukweli ili umiliki wake urudi serikalini kabla ya kuisha kwa mwaka huu. Alisema hayo jana katika hafla ya kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Taifa …

Read More »

Wasomi, wanasiasa waichambua CCM

WASOMI na wanasiasa nchini wameunga mkono agizo lililotolewa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais John Magufuli, lililowataka viongozi wa Serikali kuwajibika mbele ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyotolewa juzi wakati wa mkutano mkuu wa chama hicho, mjini Dodoma. Wakizungumza na gazeti hili, wasomi hao akiwemo Mhadhiri wa Chuo …

Read More »

Wanaopigwa na wake zao waongezeka na kufikia 50

IDADI ya wanaume wakiwemo watumishi wa umma katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, ambao wameamua kuvunja ukimya, wakidai kupigwa na kutelekezwa na wenza wao, imeongozeka kwa kasi. Mkuu wa Dawati la Polisi la Jinsia na Watoto Manispaa ya Sumbawanga, Koplo Germana Leo Mfwomi alieleza idadi hiyo imeongezeka kwa kasi baada …

Read More »

Walimu wastaafu wakabidhiwa hundi ya ununuzi wa mabati 200

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kimewakabidhi walimu 10 wastaafu Sh milioni 3.4 kwa ajili ya ununuzi wa mabati 200. Mwenyekiti wa CWT wilayani Simanjiro, Abraham Kisimbi aliyasema hayo wakati akizungumza kwenye mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika mji mdogo wa Orkesumet. Mwalimu Kisimbi wamewapa walimu hao …

Read More »

Shilingi iko salama dhidi ya dola -BoT

SHILINGI ya Tanzania imeendelea kuimarika kipindi chote mwaka huu ikiendelea kupanda na kushuka kwa shilingi 100 dhidi ya Dola ya Marekani kwa muda wa miezi 10 iliyopita. Aidha taarifa ya Benki Kuu inaonesha kwamba taifa lina hazina ya kutosha ya fedha za kigeni na kutaka wananchi wasiwe na taharuki. Data …

Read More »

NEC: Hatuna taarifa ya Nyalandu

SIKU chache baada ya Lazaro Nyalandu kutangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini, Tume ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa haina taarifa kuhusu mbunge huyo na kwamba watakapoipata watatoa utaratibu unaopaswa kuchukuliwa. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Ramadhani Kailima alisema hayo …

Read More »

Vigogo 2 Acacia wajiuzulu warithi watajwa

KAMPUNI ya Acacia imebainisha kuwa Ofi sa Mtendaji Mkuu wake, Brad Gordon na Ofi sa Mkuu wa Fedha, Andrew Wray wameachia ngazi katika nafasi hizo. Acacia ni moja ya kampuni kubwa za uchimbaji wa madini ya dhahabu Afrika na ina migodi mitatu Kaskazini- Magharibi mwa Tanzania, ambayo ni Bulyanhulu mkoani …

Read More »

Mizigo ya Zambia yaongezeka bandarini

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema ushirikiano wa kibiashara kati yake na Zambia umeimarika, ambako mizigo yake inayopita katika bandari hiyo imeongezeka kutoka tani 1,248,000 kwa kipindi cha Januari hadi Septemba, 2016 hadi tani 1,478,000 kwa kipindi kama hicho mwaka huu. Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa TPA, Lydia …

Read More »

Mpina aharakisha mnada ng’ombe waliotaifishwa

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameiagiza Ofi si ya Mwanasheria Mkuu wa serikali wilayani Misenyi, kukamilisha taratibu za uhamiaji na mahakama, ili ng’ombe 6,648 waliokamatwa kwa kuingia nchini kinyemeleza waweze kupigwa mnada. Ng’ombe hao walikamatwa hivi karibuni katika wilaya hiyo wakitokea Uganda na kukamatwa. Mpina alisema uvamizi wa …

Read More »