Home / Habari Za Kitaifa (page 3)

Habari Za Kitaifa

WAZIRI KIGWANGALLA APATA AJALI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amenusurika kufa baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali leo asubuhi katika eneo liitwalo Magugu wakati akitoka Arusha kwenda Dodoma. Ofisa Habari katika wizara hiyo, Hamza Temba amepoteza maisha katika ajali hiyo. Waziri Kigwangalla anaendelea kupata tiba katika hospitali ya Selian jijini …

Read More »

MAUZO YA KENYA TANZANIA YAPAA

WAKATI uhusiano wa kibiashara baina ya Kenya na Tanzania ukirejea katika hali yake ya kawaida baada ya nchi hizo kutafuta mwarobaini wa mgongano wa kibiashara, mauzo ya bidhaa za Kenya nchini Tanzania, yamepanda kwa kasi kubwa ndani ya miezi mitano. Julai 5 mwaka huu, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya …

Read More »

SHULE KONGWE KUBORESHA ZIWE NA MVUTO

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amesema Serikali imejipanga kuhakikisha shule zote za umma hususan kongwe zinarudi kwenye ubora wake kama zamani ili ziwe na mvuto kwa wanafunzi. Jafo ameyasema hayo jijini Dodoma katika kikao kazi cha tathmini ya matokeo ya …

Read More »

ZANZIBAR KUJIFUNZA UVUVI INDONESIA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein amesema, Zanzibar ina mengi ya kujifunza kutoka Indonesia katika sekta ya uvuvi kwa kuwa nchi hiyo imepiga hatua na kupata mafanikio makubwa katika sekta hiyo. Dk Shein ameyasema hayo wakati alipotembelea kiwanda cha kusarifu samaki cha Perum …

Read More »

MADIWANI CHADEMA, CUF KIZIMBANI

MADIWANI watatu wa manispaa ya Ilala mkoani Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala wakikabiliwa na mashitaka ya kushawishi rushwa ya Sh milioni 25 na kupokea rushwa ya Sh milioni tatu. Washitakiwa hao ni Diwani wa Segerea, Edwin Mwakatobe na Diwani wa Mchikichini, Joseph Ngowa wote kutoka …

Read More »

SABABU ZA WAPINZANI KURUDI CCM

WAKATI aliyekuwa Mbunge wa Monduli kupitia Chadema, Julius Kalanga akitangaza kujiuzulu nyadhifa zake, ikiwemo kuachia nafasi yake ya ubunge na kujiunga CCM, baadhi ya wasomi na wanasiasa wamebainisha kuwa uongozi mzuri wa Rais John Magufuli, ndio chanzo cha viongozi wa upinzani kuhama vyama vyao. Mpaka sasa madiwani zaidi ya 40 …

Read More »

ZEC KUJIPIMA UCHAGUZI JANG’OMBE

TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema imejipanga vizuri kuhakikisha kwamba dosari zote zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, zinafanyiwa kazi na hazitajitokeza tena. Mwenyekiti wa ZEC, Jaji mstaafu Hamid Mahmoud amesema hayo alipokutana na Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi, ofisini kwake Vuga kwa ajili …

Read More »

MIKAKATI 15 MAGEUZI SEKTA YA UVUVI

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amezindua mikakati 15 kusimamia utekelezaji wa majukumu ya wizara hiyo na kuleta mageuzi makubwa na ya muda mfupi sekta za mifugo na uvuvi kabla ya kumalizika awamu ya kwanza ya serikali ya awamu ya tano ifikapo mwaka 2020. Mikakati hiyo ni kudhibiti magonjwa …

Read More »

WANAOUZA BINADAMU KUKIONA

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameliagiza Jeshi la Polisi kuendesha msako wa nyumba kwa nyumba, mashamba na madanguro kunusuru waathirika wa biashara haramu ya usafirishaji binadamu hasa watoto. Pia ameagiza kuondolewa haraka kwa Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Kudhibiti biashara hiyo, Abubakar Yunusu kwa kushindwa …

Read More »

MAJALIWA ATUMBUA WANAODAIWA KUIBA DAWA

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Hospitali ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kwa tuhuma za wizi wa dawa na vifaa tiba. Waziri Mkuu ameahidi kuyafunga maduka yote ya dawa yanayodaiwa kununua dawa kutoka kwa watumishi wa hospitali hiyo wasiokuwa waaminifu na kuziuza kwa wananchi. Waziri huyo …

Read More »