Home / Michezo

Michezo

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 13.09.2018 : Jerome Boateng, Anthony Martial, Jose Mourinho, Zinedine Zidane, Rafael Nadal

Beki Jerome Boateng, 30, amemwambia Jose Mourinho kuwa amekataa ofa ya kujiunga na Mashetani Wekundu kwa sababu haoni kuwa kuhamia Manchester United akitokea Bayern Munich kama kupiga hatua ya maendeleo. (Mirror) Mshambuliaji Marcus Rashford anataka kusalia Manchester United na kupambana kupata nafasi katika kikosi cha kwanza. Hatahivyo kama atashindwa kupata …

Read More »

Tetesi za Soka Ulaya

Mourinho

Wachezaji, wakufunzi na wafanyakazi wengine wa Manchester United wanaamini Jose Mourinho atafutwa kazi iwapo atashindwa mechi nyingine moja. (Daily Mail) Maafisa wakuu wa klabu hiyo hata hivyo bado wana imani kwamba Mourinho, 55, anaweza kubadilisha mambo katika klabu hiyo hata baada ya United kushindwa mechi mbili kati ya tatu za …

Read More »

Samatta Apiga Hatrick Genk

Mkali wa mabao wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameendelea kuwatesa wazungu kwa kuzifumania vyavu, baada ya juzi usiku kupiga mabao matatu wakati Genk iliposhinda 5-2 dhidi ya Brondly. Samatta alifunga mabao hayo dakika ya 37, 55 na 70, ukiwa ni mchezo wa kufuzu mashindano ya Ligi ya Ulaya na …

Read More »

Kocha Wa Simba Akiri Udhaifu

Simba Sports Club Coach

Licha ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, Simba kuanza michuano hiyo vizuri kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons juzi, kocha wake Patrick Aussems amesema safu yake ya ushambuliaji ilikosa ufanisi. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, …

Read More »

Simba Bingwa wa Ngao ya Jamii

  MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba SC wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii baada ya kuwalaza Mtibwa Sugar kwa mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Simba ndio waliokuwa wakwanza kupata bao katika dakika ya 29 kupitia kwa mshambuliaji wao Meddie Kagere baada ya …

Read More »

Yanga yatoa mkosi Kombe la Shirikisho Afrika

kikosi cha watoto wa Jangwani, Yanga Yanga yatoa mkosi Kombe la Shirikisho Afrika yashinda 2-1. Mabingwa wa zamani wa soka nchini Tanzania Young Africans jana imefanikiwa kupata ushindi wa kwanza katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuifunga 2-1 USM Alger ya Algeria katika Uwanja wa …

Read More »