Home / Michezo (page 10)

Michezo

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 22.02.2018

Pogba Ajenti wa kiungo wa kati wa Man United Paul Pogba amewasilisha ombi la kuhama la mchezaji huyo katika klabu kubwa za Ulaya . Mchezaji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 24 alianza mechi ya United ya 0-0 dhidi ya Sevilla siku ya Jumatano akicheza kama mchezaji wa ziada. …

Read More »

Conte: naiachia klabu ifanye uamuzi

Kocha wa Chelsea Antonio Conte Meneja wa Chelsea Muitaliano,Antonio Conte, baada ya kichapo cha magoli 4-1 dhidi ya Watford amesema anaiachia klabu yake kufanya uamuzi kama wanafikiri hafanyi kazi nzuri. Mabingwa hao watetezi wamepoteza michezo miwili mfululizo katika wiki na wako katika nafasi ya nne kwa alama 50. “Nitabaki kuwa …

Read More »

Bondia Muhammad Ali afungiwa miaka miwili

Bondia Muhammad Ali amefungiwa kwa miaka miwili Bondia Muhammad Ali, raia wa uingereza amefungiwa kwa miaka miwili kujihusisha na mchezo wa masubwi baada ya kushindwa vipimo vya dawa zilizokatazwa michezoni. Ali mwenye miaka 21, alishindwa kufaulu vipimo alipokua nashikiriki michezo ya dunia ya masubwi iliyofanyika nchini Morocco mwaka jana. Bondia …

Read More »

Wenger amtetea Alexis Sanchez baada yake kukosa kupimwa

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amemtetea mchezaji wa zamani wa klabu hiyo aliyehamia Manchester United baada yake kukosa kipimo muhimu kuhusu matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini. Aidha, amesema klabu hiyo haifichi habari zozote kuhusu tukio hilo. Raia huyo wa Chile mwenye miaka 29 anadaiwa kukosa kipimo muhimu Jumatatu …

Read More »

Michuano ya FA Cup kuendelea kutimua vumbi tena hii leo

Kikombe la FA Michuano ya FA Cup inaendele tena hii leo ijumaa kwa michezo miwili, Shifeld Wednesday wanawakaribisha Reading huku Manchester United wakiwa ni wageni wa Yovil katika dimba la Huish Park na Manchester kwa mara ya kwanza watamtumia mchezaji wao mpya waliye msajili kutoka kwa wapinzani wao Arsenal Alexis …

Read More »

Watanzania 9 kusimamia mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika

Waamuzi tisa kusimamia mchezo wa shirikisho Waamuzi nane kutoka Tanzania wameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika CAF kuchezesha mechi za ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho. Waamuzi wanne wameteuliwa kuchezesha mchezo wa Ligi ya mabingwa kati ya Lydia Ludic Burundi Academic ya Burundi na Rayon …

Read More »

Tetesi za Soka Alhamisi 25.01.18

Sergio Aguero Manchester City huenda ikaingia katika makubaliano na Atletico Madrid kubadilishana mshambuliaji raia wa Argentina Sergio Aguero, mwenye umri wa 29, ili kwa upande wake imchukue Antoine Griezmann, raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 26 katika msimu ujao wa joto. (Sun) Lokomotiv Moscow imeifuata Liverpool kumtaka kumsajili winga …

Read More »

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 13.01.2018

michezo

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte anataka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez mwezi Januari , akisema mchezaji huyo, 29 anaweza kuwa ”uwekezaji mzuri”. (Telegraph) Tottenham iko tayari kufutilia mbali hamu ya kutaka kumsajili winga wa Bordeaux Malcom kwa sababu klabu hiyo ya Ufaransa inaitisha dau la £45m ili kumunua mchezaji …

Read More »