Home / Michezo (page 108)

Michezo

Lwandamina achimba mkwara mzito Yanga

KOCHA mpya wa mabingwa wa soka wa Tanzania Bara Yanga, George Lwandamina amechimba mkwara mzito na kusema atakuwa mkali kwa wachezaji wazembe kwenye klabu hiyo. Lwandamina alitangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa klabu hiyo na Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Clement Sanga akichukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa klabu hiyo …

Read More »

TFF yaitega Simba waamuzi toka nje

SHIRIKISHO la Soka nchini (TFF) limesema kanuni hazizuii waamuzi kutoka nje ya Tanzania kuchezesha baadhi ya mechi kwenye Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara. Hivi karibuni Msemaji wa Klabu ya Simba, Hajji Manara alisema klabu hiyo itagomea mechi yao na Yanga kama itachezeshwa na waamuzi kutoka Tanzania na kushauri …

Read More »

Europa: Man U yashinda 4-0 Rooney ang’ara vilivyo

Mchezaji wa Manchester United Wayne Rooney amevunja rekodi kama ya magoli 39 barani Ulaya baada ya kuwashinda Feyenoord 4-0 katika mchezo wa ligi ya Europa. Ushindi huu umeiweka Man u katika nafasi ya pili na alama 9 kwenye kundi A ikiwa nyuma ya Fernabache kwa alama moja. Meneja wa Man …

Read More »

Bondia aliyepigwa Knockout afariki

Bondia mmoja aliyepata jeraha la kichwa katika pigano lake la kwanza amefariki. Kuba Moczyk mwenye umri wa miaka 22 alipigwa knockout katika raundi ya tatu katika pigano la siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Towe Complex huko Yarmouth. Familia yake imesema kuwa alifariki siku ya Jumatano usiku katika hospitali ya …

Read More »

Samuel Eto’o akabiliwa na kifungo cha miaka 10 jela

Aliyekuwa nyota wa timu ya soka ya Cameroon Samuel Eto’o huenda akahudumia kifungo cha miaka 10 jela baada ya waendesha mashtaka kumhusisha na kashfa ya kukwepa kulipa ushuru. Huenda pia akalipa faini ya zaidi ya Euro milioni 18. Kulingana na ripoti mchezaji huyo wa zamani wa Cameroon pamoja na mshauri …

Read More »

Ivo afungua kituo cha soka

KITUO cha kuendeleza soka kwa vijana walio chini ya miaka mitano hadi 18 kinatarajiwa kufunguliwa Novemba 26 huko Kitunda Mwanang’ati, Ilala Dar es Salaam. Akizungumza na gazeti hili mmiliki wa kituo hicho golikipa wa zamani wa timu za Simba na Yanga, Ivo Mapunda alisema ameona umuhimu wa kuwafundisha watoto misingi …

Read More »

Wagombea MZFA hadharani

KAMATI ya Uchaguzi ya Chama cha Soka mkoani Mwanza (MZFA) imetaja majina ya wagombea katika nafasi mbali mbali za soka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa chama hicho utakaofanyika Januari 7 mwakani. Akizungumza na gazeti hili Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya MZFA, Andrew Luigo alisema katika nafasi ya Mwenyekiti wagombea ni …

Read More »

‘Mkutano Simba pale pale’

WEKUNDU wa Msimbazi Simba wamesema wataendelea na utaratibu wao wa kufanya Mkutano Mkuu Desemba 11, mwaka huu kama walivyotangaza ukilenga kufanya marekebisho ya katiba. Msemaji wa Simba, Haji Manara alisema jana kuwa mkutano huo unafuata utaratibu wa katiba ya klabu hiyo, na kwamba haumuhusu kiongozi yeyote wa Baraza la Michezo …

Read More »

Simbu kushiriki London marathon

MWANARIADHA wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu atashiriki London Marathon zitakazofanyika Aprili 23 mwakani, imeelezwa. Felix alisema kwa njia ya simu juzi kuwa, kwa anajiandaa kushiriki moja ya mbio kubwa dunia na zenye zawadi nono. Mbali na zawadi nono, pia mbio hizo za kila mwaka zimekuwa zikishirikisha wanariadha wengi …

Read More »

Manji, Dewji wapewa somo

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wanaotaka kuzichukua klabu za Yanga na Simba kuiga mfano wa Azam FC kuunda timu zao. Makonda aliyasema hayo alipotembelea maskani ya klabu ya Azam FC huko Chamazi, Mbagala wakati wa ziara yake katika wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam …

Read More »