Home / Michezo (page 2)

Michezo

CHILUNDA ATUA HISPANIA

MAMBO yamekamilika kwa mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Idd ‘Chilunda’ katika dili lake la kujiunga na timu ya CD Teneriffe ya Hispania. Wiki kadhaa zilizopita Chilunda alisaini mkataba wa miaka miwili na Teneriffe lakini alikwama kujiunga na timu hiyo kutokana na kukosa kibali cha kufanya kazi nchini Hispania. Taarifa kutoka …

Read More »

KICHUYA, OKWI, NDEMLA WAFUNIKA

WACHEZAJI Shiza Kichuya, Emmanuel Okwi, Saidi Ndemla na Jonas Mkude jana walifunika katika utambulisho kwa mashabiki wa timu hiyo. Mbali na wachezaji hao, kocha msaidizi, Masoud Djuma naye alifunika kwa kupata shangwe nyingi za mashabiki wa Simba. Simba, jana ilihitimisha tamasha lake, Simba Day linalofanyika Agosti nane ya kila mwaka …

Read More »

AMUNIKE KOCHA MPYA STARS

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemtambulisha mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Nigeria, Emmanuel Amunike kuwa kocha mpya wa timu ya Taifa, Taifa Stars. Rais wa TFF, Wallace Karia amemtangaza kocha huyo kwa waandishi wa habari Dar es Salaam jana na kusema wamesaini mkataba wa miaka miwili. Amunike mwenye umri …

Read More »

SIMBA YAIALIKA ASANTE KOTOKO

MABINGWA wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, Simba, wameialika Asante Kotoko ya Ghana kucheza nayo mechi ya kirafiki katika kilele cha maadhimisho ya Simba Day Agosti 8, mwaka huu. Simba hufanya tamasha hilo Agosti ya kila mwaka ambapo kabla ya kufikia kilele tarehe nane, hufanya shughuli mbalimbali za kijamii ikiwa …

Read More »

Sampdoria yamzindua Ronaldo… Vieira na sio Cristiano

Sampdoria yamzindua Ronaldo! Hapana, sio uhamisho mkubwa wa msimu huu Klabu hiyo ya Seria A imemsajili Ronaldo wao na kumpatia upinzani Christiano Ronaldo aliyeelekea klabu ya Juventus. Hii ndio sababu unapaswa kusoma kwa makini Ronaldo Vieira amejiunga na Blucerchiati kwa kandarasi ya miaka mitano , mkataba usiojulikana thamani yake kutoka …

Read More »