Home / Michezo (page 20)

Michezo

Tottenham: Guardiola ‘ametukosea heshima’- Pochettino

Harry Kane amefunga ‘hat trick’ mara sita mwaka 2017 Meneja wa Tottenham Mauricio Pochettino amesema tamko la Pep Guardiola kuhusu hatua ya klabu hiyo kumtegemea sana Harry Kane ni ya “kuwakosea heshima” na ya “kusiktiisha”. Meneja huyo wa Manchester City alieleza Spurs kama “timu ya Harry Kane” alipokuwa akiwazungumzia wapinzani …

Read More »

Tetetsi za soka Ulaya IJumaa 13.10.2017

Jose Mourinho Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anataka kumsajili beki wa kushoto wa Tottenham na Uingereza Danny Rose. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 anaweza kuelekea Kaskazini kwa kitita cha pauni milioni 50. (Sun) Manchester City inatarajiwa kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez na inaweza kumnunua mshambuliaji huyo …

Read More »

Wenger apatwa na mtego wa habari za uzushi

Arsene Wenger Meneja wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger ameangukia mtego wa habari za uzushi mtandaoni kwamba mchezaji nyota wa zamani George Weah ameshinda urais nchini Liberia. Ukweli ni kwamba matokeo ya uchaguzi huo wa Jumanne bado hayajatangazwa. Wenger alikuwa akihutubia wanahabari katika kikao cha kutoa maelezo kuhusu hali ya …

Read More »

Yaya Toure aonya kuhusu kombe la dunia Urusi

Yaya Toure asema kombe la dunia la Urusi 2018 litafeli pakubwa iwapo litatawaliwa na ubaguzi wa rangi Kiungo wa kati wa Manchester City Yaya Toure anasema kuwa kombe la dunia la mwaka ujao litakuwa na ”litafeli pakubwa iwapo litatawaliwa na ubaguzi wa rangi” . Toure mwenye umri wa miaka 34 …

Read More »

Mali na Ghana zatinga kumi na sita bora

Heka heka za vijana wa Mali katika mchezo dhidi ya New Zealand Wawakilishi wa Afrika katika michuano ya kombe la dunia la vijana la chini ya miaka 17 timu za Mali na Ghana zimetinga hatua ya kumi na sita bora ya michuano hiyo. Mali walioko katika kundi B wamemaliza katika …

Read More »

Davido ahojiwa kufuatia kifo cha rafiki yake

Davido ahojiwa kufuatia kifo cha rafiki yake Polisi katika mji wa Lagos nchini Nigeria wanasema kuwa wanamchunguzua mwanamuziki Davido, ambaye jina lake kamili ni David Adeleke, kufuatia utata unaozunguka kifo cha rafiki yake Tagbo Umeike. Msemaji wa polisi aliiambia BBC kuwa Davido hachukuliwa kuwa mshukiwa wakati huu, lakini akathibitisha kuwa …

Read More »

Batambuze mchezaji bora wa Septemba Tanzania

Shafik Batambuze aibuka mchezaji bora wa mwezi Septemba Tanzania Mchezaji wa timu ya Singida United, Shafik Batambuze amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2017/2018. Batambuze anayecheza nafasi ya ulinzi wa pembeni, alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda Ibrahim Ajibu …

Read More »

Lionel Messi awafikisha Argentina Kombe la Dunia 2018 Urusi

Lionel Messi scored his first hat-trick in World Cup qualifying matches Lionel Messi alifunga mabao matatu na kuiwezesha Argentina kutoka nyuma ugenini dhidi ya Ecuador na kuwalaza 3-1 na kufuzu kwa michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi. Brazil walikuwa tayari wamefuzu. Luis Suarez alifunga mabao mawili kuwawezesha …

Read More »

Robben atundika daluga zake Uholanzi

Arjen Robben amewakilisha Uholanzi katika fainali tatu za Kombe la Dunia Nahodha wa Uholanzi Arjen Robben ametanagza kwamba amestaafu soka ya kimataifa baada ya Uholanzi kushindwa kufuzu kwa Kombe la Dunia nchini Urusi mwaka ujao. Robben alifunga mabao yote mawili katika ushindi wao wa 2-0 dhidi ya Sweden, lakini mabao …

Read More »

Sadio Mane: Liverpool kukaa nje ya uwanja wiki sita

Sadio Mane alifungia Liverpool mabao 13 msimu uliopita Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane huenda akakaa nje kwa hadi wiki sita baada ya kupata jeraha la misumi ya paja akichezea Senegal mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia. Mane, 25, aliondolewa uwanjani dakika ya 89 mechi ambayo walilaza Cape Verde 2-0 …

Read More »