Home / Michezo (page 3)

Michezo

Belmadi apewa mikoba ya kuinoa Algeria

Djamel Belmadi apewa jukumu la kuiongoza timu ya taifa ya Algeria Chama cha soka cha Algeria kimemtangaza Djamel Belmadi kuwa meneja mpya wa timu ya taifa kwa mkataba wa miaka minne Belmadi, anakuwa meneja wa sita wa Algeria katika kipindi cha miaka miwili na anachukua nafasi ya Rabah Madjer. Belmadi …

Read More »

KAGERE- NUSURA NIJIUNGE LEOPARDS

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Gor Mahia, Meddie Kagere ameibuka na kusema kuwa nusura atue kwa wapinzani wa timu hiyo ya Kenya, AFC Leopards kabla ya kusajili Gor. Akizungumza katika mahojiano na Sunday Nation, Kagere mwenye umri wa miaka 32 aliendelea kuichezea K’Ogalo kwa sababu tu viongozi hawakutokea kuzungumza naye kuhusu …

Read More »

TFF, KCB WASAINI MKATABA MPYA

BENKI ya KCB imeendelea kuwa sehemu ya wadhamini wa Ligi Kuu Bara baada ya jana kusaini mkataba wa mwaka mmoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuidhamini ligi hiyo. Akizungumza wakati wa kutia saini Dar es Salaam jana, Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya KCB, Fatma Chiro alisema mkataba huo wa …

Read More »

TFF- KILI QUEENS IMETUPA HESHIMA

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema timu ya taifa ya wanawake ya Bara, Kilimanjaro Queens imewapa heshima kubwa kwa kutwaa ubingwa wa Cecafa na anaamini siku moja soka ya wanawake italeta kombe la Afrika nchini. Kilimanjaro Queens mwishoni mwa wiki iliyopita ilitwaa ubingwa huo kwa mara …

Read More »

Diamond azuiwa uwanja wa ndege kwa kukosa kibali cha BASATA

Diamond Platnumz

Mwanamuziki nyota nchini Tanzania, Diamond Platnumz na msafara wake walikuwa katika hali ya taharuki kwa saa kadhaa baada ya kuzuiwa na Baraza la sanaa nchini Tanzania, BASATA walipokuwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenda kutumbuiza nje ya nchi kwa kuwa hakuwa na idhini (kibali …

Read More »

Ni Kilimanjaro Queens tena yalinda Heshima yake

TIMU ya Taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens imetetea ubingwa wa michuano ya Kombe la Chalenji kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, baada ya kuichapa Ethiopia kwa mabao 4-1 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Stade de Kigali. Katika mchezo huo uliochezwa jana Kigali, Rwanda, Kili Queens …

Read More »

CANAVARO MENEJA MPYA YANGA

KLABU ya Yanga imefanya baadhi ya maboresho katika sehemu mbalimbali, ikiwemo usajili wa wachezaji wapya na benchi la ufundi kuelekea msimu ujao huku nahodha wake wa muda mrefu, Haroub Canavaro akiangukia katika umeneja wa timu. Akizungumza na waandishi wa habari jana Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Hussein Nyika alisema klabu …

Read More »

Jurgen Klopp amwambia Mourinho ”sina haja na Man United yako”

Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kuwa mojawapo ya malengo yake maishani ni kumfanya Mkufunzi wa Manchester united Jose Mourino kutabasamu, baada ya Mourinho kusema kwamba Liverpool inapaswa kushinda ligi ya Uingereza msimu huu. Mourinho alisema kuwa klabu hiyo ya Anfield ina nafasi nzuri ya kushinda taji hilo baada ya …

Read More »