Home / Michezo (page 30)

Michezo

Barcelona: Liverpool ilihitaji £183m kumuuza Coutinho

Phelippe Coutinho Barcelona imesema kuwa liverpool iliitisha £183m kwa uhamisho wa nyota wake Phillipe Countinho katika siku ya mwisho ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho siku ya Ijumaa. Liverpool wamekataa maombi matatu kutoka kwa mabingwa hao wa Uhispania kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ambaye alikuwa ameomba uhamisho. …

Read More »

Everton yakataa ombi la Chelsea kumnunua Ross Barkley

Ross Barkley Everton wamekataa dau la £25m kutoka kwa Chelsea kumununua Ross barkley , lakini kiungo huyo wa kati wa Uingereza bado anaweza kuihama klabu hiyo kabla ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho siku ya alhamisi. Ombi hilo la Chelsea limedaiwa kuwa chini ya dau la £50m lililoitishwa na Everton …

Read More »

Alex Oxlade-Chamberlain kujiunga na Chelsea

Nyota wa Arsenal Alex Oxlaide Chamberlain yuko katika harakati za kujiunga na Chelsea. Nyota wa Arsenal Alex Oxlade Chamberlain yuko katika harakati za kujiunga na Chelsea. Chamberlain mwenye umri wa miaka 24 atamaliza mkataba wake msimu ujao na Arsenal na amekataa kuongeza mkataba mpya. Chelsea imekataa kutoa tamko lolote kuhusu …

Read More »

Ian Wright: Wenger anafaa kuondoka Arsenal

Ian Wright asema kuwa Wenger anafaa kuondoka Arsenal Arsenal iko katika hali mbaya ”kuanzia juu hadi chini” na mkufunzi Arsene Wenger anafaa kuondoka kulingana na aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo Ian Wright. Kichapo cha 4-0 dhidi ya Liverpool siku ya Jumapili kiliiwacha timu hiyo na ushindi mmoja pekee kati ya …

Read More »

Droo ya vilabu bingwa Ulaya: R Madrid dhidi ya Tottenham

Mabingwa wa kombe la vilabu bingwa Ulaya Real Madrid Klabu ya Tottenham itakabiliana na mabingwa watetezi wa kombe la vilabu bingwa Ulaya Real Madrid katika awamu ya kimakundi ya kombe hilo. Spurs wamewekwa katika kundi H pamoja na Real Madrid, Mabingwa wa Ujerumani Borussia Dortmund na Apoel ya Urusi. Droo …

Read More »

Simba yaendeleza ubabe kwa Yanga

TIMU ya soka ya Simba imeanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya soka Tanzania bara kwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa kuichapa Yanga kwa penalti 5-4 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Alikuwa mshambuliaji Mohammed Ibrahim Mo aliyeamsha shangwe, vifijo na nderemo za mashabiki wa Simba kwa bao la …

Read More »

Washindi watuzwa kombe la Charity ”Sheild” kimakosa Tanzania

Neno Shield liliandikwa kimakosa na kusomeka ”Sheild” Makosa ya herufi yanaweza kuwa ndoto mbaya kwa mwandishi yeyote yule. Hatahivyo makosa hufanyika na binadamu yeyote yule na anapotambua makosa hayo yeye husahihisha. Ujumbe wa Twitter uliochapishwa baada ya sherehe ya kuwazawadi washindi wa kombe hilo Lakini sio kama makosa ya herufi …

Read More »

Masikini Yangaaa!

TIMU ya soka ya Simba imeanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya soka Tanzania bara kwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa kuichapa Yanga kwa penalti 5-4 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Alikuwa mshambuliaji Mohammed Ibrahim Mo aliyeamsha shangwe, vifijo na nderemo za mashabiki wa Simba kwa bao la …

Read More »