Home / Michezo (page 4)

Michezo

Sitaki Makosa, Tushambulie Mwanzo Mwisho

Kocha wa Azam FC ya Dar es Salaam, Hans van Pluijm amefunguka kuhusu maandalizi anayoendelea nayo kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara akieleza kuwa kama kawaida yake, falsafa yake ni kushambulia huku akiwa hataki mchezo kwenye idara ya ulinzi. Pluijm hataki timu pinzani atakazokutana nazo zipate muda wa kupanga …

Read More »

Man City 1-2 Liverpool

liverpool

Mohamed Salah hakupoteza wakati wowote katika ufungaji wa mabao baada ya Liverpool kutoka nyuma na kuishinda Manchester City 2-1 mjini New Jersy Marekani. Mshambuliaji huyo wa Misri , ambaye alifunga mabao 44 katika mechi 52 msimu uliopita alisawazisha bao lililofungwa na Leroy Sane katika kipindi cha pili dakika moja baada …

Read More »

Neymar asimulia alivyoomboleza Brazil kuondolewa Kombe la Dunia 2018

Mshambuliaji wa Brazil Neymar amesema hakutaka “kuuona mpira wowote karibu naye” au hata kutazama mechi zilizosalia za Kombe la Dunia baada ya taifa lake kuondolew akwenye michuano hiyo. Brazil waliondolewa hatua ya robofainali baada ya kulazwa na Ubelgiji. “Nilikuwa ninaomboleza, nilikuwa na huzuni sana, lakini uzuri huzuni huondoka siku zinavyosonga,” …

Read More »

SANGA AACHIA NGAZI YANGA

Makamu Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Yanga Clement Sanga ajiuzulu. Ametangaza uamuzi huo leo wakati anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. “Na ninajiuzulu kwa masikitiko kwa sababu pia naamini bado na kipindi kingine cha kuitumikia Yanga mpaka 2020 aah kwa mujibu wa Katiba yetu lakini kilichonipelekea …

Read More »

YONDANI ASITISHA MGOMO

NAHODHA wa Yanga, Kelvin Yondani anatarajiwa kuanza mazoezi Jumatatu baada ya mgomo wa takribani mwezi mmoja akishinikiza kupatiwa mkataba mpya. Yondan amemaliza mkataba Yanga SC Juni mwaka huu, lakini kwa kipindi chote ameshindwa kufikia makubaliano ya mkataba mpya na klabu. Juzi mchezaji huyo wa zamani wa Simba na Toto Africans …

Read More »

MTIBWA- SIMBA NENDENI, HATUWAOGOPI

TIMU ya Mtibwa Sugar imewaambia Simba hata kama wanaenda kuweka kambi nchini Uturuki haitawafanya wawaogope kuelekea mchezo wao wa Ngao ya Jamii. Simba ambao kwa sasa wananolewa na kocha raia wa Ubelgiji, Patrick Aussems leo Jumapili walitarajiwa kwenda Uturuki kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu mpya 2018/19 na …

Read More »

Mashabiki Wataka Yanga S.C Invunjwe

BAADA ya kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Gor Mahia FC katika mchezo wa makundi wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, mashabiki na wanachama wa Yanga wameutaka uongozi kufanya uamuzi mgumu kwa kusafisha upya kikosi. Kipigo hicho cha ugenini kimemtoa hadharani mchezaji wa zamani wa Yanga, Abeid Mziba akieleza …

Read More »

SIMBA NA YANGA USO KWA USO SEPT 30

Wapinzani wa jadi Simba na Yanga watakutana Septemba 30, mwaka huu, ratiba ya Ligi Kuu Bara iliyotangazwa leo Jumatano yaeleza. Shirikisho la Soka nchini (TFF) limeeleza kuwa pazia la Ligi Kuu katika msimu wa 2018/19 litafunguliwa kwa mechi ya Ngao ya Hisani Mnamo Agosti 8, ambapo bingwa wa ligi hiyo Simba …

Read More »