Home / Afya

Afya

WANAWAKE WATAKIWA KUNYONYESHA WATOTO MAZIWA YAO PEKEE

WANAWAKE wametakiwa kunyonyesha watoto maziwa ya mama pekee bila kuwapa maji, kinywaji au chakula kingine katika kipindi cha miezi sita baada ya kuzaliwa kwao. Pia wameambiwa kuwa watoto wanatakiwa kupewa dawa, chanjo na matibabu mengine kwa ushauri wa watoa huduma za afya mahali hapo. Ushauri huo ulitolewa na Kaimu Mkurugenzi …

Read More »

Je wajua kwamba nguo za kubana huathiri ‘mbegu za kiume’?

Na Lucy R GreenScience fellow Kaptula ya ndani kama iliyovaliwa na Gary Lineker kwenye mechi ambayo Leicester City ilichukua ubingwa wa ligi kuu uhusishwa na idadi ya mbegu za kiume Kuvaa nguo za ndani zilizo pana kunaweza kuwa njia rahisi kwa wanaume kuimarisha mbegu za kiume na homoni zinazozidhibiti, utafiti …

Read More »

Ni kwa jinsi gani ugonjwa wa ndui ulitokomezwa duniani?

watoto wakichomwa sindano ya chanjo ya ndui Ndui (smallpox) ulikuwa ugonjwa wa kuambukiza uliosababishwa na virusi aina ya variola.Ugonjwa huu ulikuwa unasababisha vifo kwa asilimia 30 mpaka 35, walioathirika zaidi walikuwa ni watoto. Huku walionusurika wengi waliachwa na makovu ya kudumu hasa katika uso. Mwaka 1978 ,mgonjwa wa mwisho wa …

Read More »

Je maji ya madafu yana umuhimu gani katika mwili wa mwanadamu?

Madafu ni kinywaji maarufu sana pwani ya Kenya hasa mjini Mombasa. Kuanzia wenyeji mpaka watalii wote wanapenda madafu, maji ya nazi ambayo haijakomaa. Baadhi ya Wapwani wanategemea madafu kwa kipato chao, mmoja wao ni Mzee Mwajita Khamis ambaye anauza madafu yake barabara ya Digo karibu na soko la Mackinnon ama …

Read More »

Mtoto mwenye siku 12 ang’olewa jino

Mama yake Isla-Rose anasema ”hakutarajia” kumpeleka mwanae kwa daktari wa meno akiwa na umri mdogo Mtoto mchanga wa kike aliyezaliwa akiwa ameota jino moja ameng’olewa jino hilo akiwa na siku 12. Mama wa Isla-Rose Heasman, Jasmin kutoka Plymouth Devon nchini Uingereza, alisema ”hakutegemea” kuwa angempeleka binti yake kwa daktari wa …

Read More »

Wiki ya kimataifa ya kunyonyesha mtoto: Zifahamu faida za kunyonyesha

Tamaduni nyingi zisizomruhusu mwanamke kunyonyesha maeneo ya umma pia ni changamoto kwa wanawake wanaonyonyesha Wakati ulimwengu ukiadhimisha wiki ya kimataifa ya kunyonyesha mtoto na kuelezea faida zake kwa wazazi na taifa, wakazi wa dunia wanahamashishwa kufahamu umuhimu wa maziwa ya mwanzo kabisa ya mama kwa mtoto . Takriban 40% tu …

Read More »

Madhara yakujichubuwa kwa Kumeza Vidonge

Watu wanaomeza vidonge vinavyobadili rangi mwili mzima na vipodozi vyenye kemikali, wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya saratani. Daktari Bingwa wa Ngozi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH),Dar es Salaam, Said Mwemba amesema hayo jijini Dar es Salaam. Dk Mwemba amesema watu wa namna hiyo wanapotumia mara nyingi dawa …

Read More »

MAGONJWA YA DAMU YAUA WATU WENGI

DAKTARI bingwa wa magonjwa ya damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dar es Salaam, Stella Rwezaura amesema uelewa mdogo katika jamii unasababisha idadi kubwa ya watu kupoteza maisha kutokana na magonjwa ya damu. Amesema moja ya magonjwa hayo ni himofilia ambao husababisha damu kukosa uwezo wa kuganda inayosababishwa na …

Read More »