Home / Habari za Kimataifa

Habari za Kimataifa

Kujivunia wafanyakazi wa msaada wanaojitolea

Mafanyikazi wa kitoa misaada Robert Ntitima (kulia) na dereva wake Clinton Bakala Maisha ya wafanyikazi wa kutoa misaada katika maeneo ya vita sio rahisi kama mnajuavyojua, anasema mwandishi wa zamani wa BBC Mark Doyle. Kwa sasa Doyle ambaye anahudumu katika sekta ya utoaji misaada, ameamua kuelezea maisha ya kila siku …

Read More »

Wazazi walalamikia tatizo kubwa la simu za mkononi

Simu yaweza kumsaidia mtoto kujifunza lakini bado nimuhimu kwa mzazi kuwa makini Hivi karibuni imekuwa kawaida sana kumkuta mtoto anatumia simu ya mkononi ya mzazi wake na mara nyingine wanatumia bila hata kupata ridhaa ya mzazi mwenyewe. Baadhi ya watoto huonyesha utaalamu wa hali ya juu katika kufungua kurasa mbalimbali …

Read More »

Angola yawafukuza wachimbaji haramu

  Wahamiaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanaokimbia kutoka kaskazini mashariki mwa Angola wanasema kuwa wachimbaji wadogo wa madini ya almasi wanafanyiwa vitendo vya ukatili. Mashuhuda wanaokimbia maeneo hayo wameliambia Shirika la Habari la Uingereza Reuters kwamba Majeshi ya Ulinzi ya Angola yameua watu kadhaa, kuchoma nyumba na kupora …

Read More »

Upinzani Cameroon wajitangazia ushindi

Maurice Kamto

Mgombea wa upinzani katika uchaguzi mkuu wa Cameroon Maurice Kamto anadai kuwa ameshinda uchaguzi wa uraisi wa siku ya jumapili licha ya onyo la serikali dhidi ya hatua hiyo. Kamto ambaye ni kiongozi wa chama cha Rebirth of Cameroon (MRC), ametoa wito kwa rais Paul Biya kuachia madaraka kwa amani. …

Read More »

Watu 50 Wapoteza Maisha Congo Katika Ajali

ajali congo

Takriban watu 50 wameuawa baada ya trela ya kusafirisha mafuta kugongana na gari ndogo katika barabara kuu magharibi kwa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo. Ajali hiyo ilitokea karibu na mji wa Kisantu, kati ya mji mkuu Kinshasa na bandari ya Matadi. Watu 100 walipata majeraha mabaya ya moto kwa mujibu …

Read More »