Home / Habari za Kimataifa (page 10)

Habari za Kimataifa

Miguna Miguna ateuliwa naibu gavana Nairobi

Miguna Miguna Gavana wa mji mkuu wa Kenya Nairobi Mike Mbuvi Sonko amemteua mwanasaisa wa upinzani anayekumbwa na utata Miguna Miguna kuwa naibu gavana. Sonko alitoa tangazo hilo ambalo halikutarajiwa siku ya Jumatano jioni kwa njia ya barua kwa spika wa baraza la kaunti ya Nairobi, ikisema Miguna Miguna ametimiza …

Read More »

Rais wa nchi ya watu wawili afariki Israel

Rais Eli Avivi, akiwa Achzivland mwaka 2006 Mmoja wa watawala wa miaka mingi zaidi huko Mashariki ya Kati amefariki dunia akiwa na miaka 88 lakini Eli Avivi hakuwa rais wa kawaida tu. Aliongoza taifa hilo zaidi la Achzivlabd lenye watu wawili kwa karibu nusu karne. Taifa hilo dogo lililo kaskazini …

Read More »

Matarajio ya Trump na Kim kukutana yangalipo

Rais wa Marekani Donald Trump na rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un Raisi wa Marekani Donald Trump amesema kwamba hakuna uwazi endapo mkutano pamoja na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un utafanyika kama walivyokubaliana awali, ingawa bado ana matumaini . Rais Trump ameyasema hayo wakati wa mkutano wake …

Read More »