Home / Habari za Kimataifa (page 2)

Habari za Kimataifa

Angela Merkel kung’atuka madarakani mwaka 2021

Bi Merkel amechukua maamuzi hayo baada ya chama chake kufanya vibaya kwenye chaguzi Kansela wa Ujerumani bi Angela Merkel ametangaza kung’atuka katika wadhifa wake mwaka 2021, baada ya chama anachokiongoza na washirika wake kufanya vibaya katika chaguzi mbali mabali za hivi karibuni. “Sitagombea nafasi yoyote ya kisisasa pale muhula wangu …

Read More »

Comoro: Kumezuka ghasia katika kisiwa cha Anjouan

Wakazi wa kisiwa cha Anjouan nchini Comoro wamesema kumekuwa na milio ya risasi katika mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo Mutsamudu, baada ya vikosi vya ulinzi kuvunja vizuizi vya barabarani, ambapo serikali inasema viliwekwa na upinzani. Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo Mohamed Daoudou amewalaumu waandamanaji kwa …

Read More »

Ebola yaendelea kuua DRC

Wataalamu wa afya Maafisa wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamethibitisha watu 24 zaidi wamefariki dunia kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola mashariki mwa nchi hiyo katika kipindi cha wiki iliyopita. Maafisa hao wa Afya wametoa wito kwa wakazi wa eneo hilo kuchukua hatua za kujikinga dhidi …

Read More »