Home / Habari za Kimataifa (page 20)

Habari za Kimataifa

Watu 37 wafariki kutokana na mafuriko DRC

Watu zaidi ya 37 wamefariki baada ya mafuriko kuukumba mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa kufuatia mvua kubwa, maafisa wa serikali wamesema. Wengi wa waliouawa ni wakazi wa mitaa ya mabanda ambapo nyumba nyingi zimeharibiwa na maji ya mafuriko na maporomo ya ardhi. Wengi kati ya wakazi …

Read More »

Mark Zuckerberg aahidi “kuirekebisha” namna ambavyo Facebook inashugulikia habari zisizo za kweli na matamshi ya chuki

Bw Zuckerberg amekaidi kuwa Facebook imefanya makosa mengi Mkurungenzi mkuu wa Facebook, Mark Zuckerberg ameahidi “kurekebisha” Facebook ikiwa kama malengo yake binafsi ya mwaka 2018. Katika ujumbe aliyoutuma kwenye ukurasa wake wa Facebook, amesema kuwa amefanya makosa mengi katika kutekeleza sheria na kuzuia utumiaji mbaya wa mtandao huo Bw Zuckerberg …

Read More »

Australia inataka kuwa mwuzaji mkubwa wa bangi duniani

Australia inapanga kuhalalisha uuzaji nje wa bangi Serikali ya Australia imetangaza kwamba inapania kuwa mwuzaji mkubwa zaidi wa bangi ya kutumiwa kwa ajili ya matibabu duniani. Taifa hilo linapanga kufanyia mabadiliko sheria zake na kujiunga na Canada na Uholnazi ambazo kwa sasa ndizo nchi pekee ambazo huuza bangi nje ya …

Read More »

Korea Kaskazini yakubali mazungumzo kuhusu Olimpiki

Korea Kaskazini imekubali kushiriki mazungumzo ya ngazi ya juu wiki ijayo kuhusu kushiriki kwa wachezaji wake katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi, Korea Kusini imesema. Mkutano huo wa Januari 9 utaangazia kutafuta njia ya wachezaji wa Korea Kaskazini kushiriki michezo hiyo itakayoandaliwa Korea Kusini Februari. Kiongozi wa Korea …

Read More »

Benki kuu Tanzania yafunga jumla ya benki tano

Benki kuu Tanzania yafunga jumla ya benki tano Benki kuu nchini Tanzania imefuta leseni za benki tano na kuziweka chini ya mrasimu. Benki kuu ilisema benki hizo zinakumbwa na matatizo ya kifedha. Ilisema kuwa benki hizo kuendelea kuhudumu katika hali zilivyo sasa inaweza kuwa hatari kwa mifumo ya kifedha. Wasiwasi …

Read More »

Kitabu cha kashfa za Trump sasa kuingia sokoni

Rais Donald Trump na mshauri wake wa zamani Steve Bannon Mchapishaji wa kitabu chenye utata kuhusiana na rais Donald Trump amesema kuwa amevikabili vikwazo kutoka kwa wanasheria wa Trump wanaojaribu kuzuia kisichapishwe. Aidha, ametangaza wkamba amechukua hatua chapishwe mapema, leo Ijumaa. Kitabu hicho awali kilikuwa kimetarajiwa kuchapishwa Jumanne wiki ijayo. …

Read More »

Baridi kali yawaua watu 11 Marekani

Wimbi la baridi kali mashariki mwa Marekani limesababisha vifo vya watu 11. Watabiri wa hali ya hewa wanasema hali itaendelea kuwa mbaya mashariki mwa Marekani, na tayari kumeanza kuwa na theluji jimbo la Florida. Marekani kwa sasa inakumbwa na siku ya 10 ya viwango vya baridi ambavyo vimevunja rekodi majira …

Read More »

Treni yagonga lori na kushika moto Afrika Kusini

Lori lilikosa kusimama katika makutano ya barabara na reli Treni ya kubeba abiria imeshika moto baada ya kugongana na lori nchini Afrika Kusini. Maafis awanasema watu 12 wamefariki na wengine 268 kujeruhiwa. Ukanda wa video umeonesha behewa moja la treni hiyo likiwa linawaka moja, pembeni kukiwa na gari lililopondwa pamoja …

Read More »