Home / Habari za Kimataifa (page 30)

Habari za Kimataifa

Odinga awataka wafuasi kususia bidhaa za kampuni tatu Kenya

Muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance (Nasa) umetoa wito kwa wafuasi wake kususia bidhaa na huduma kutoka kwa kampuni tatu ambazo unadai zimekuwa zikimpendelea Rais Uhuru Kenyatta. Bw Kenyatta alitangazwa Jumatatu kuwa mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika 26 Oktoba, ambao kiongozi wa Nasa Raila Odinga alisusia akisema …

Read More »

Wanawake wapigwa marufuku kupiga ngoma Burundi

Agizo hilo linasema kuwa kundi lolote litakalotaka kupiga ngoma katika nchi za ugenini litalazimika kupata ruhusa kutoka kwa wizara. Serikali ya Burundi imepiga marufuku upigaji wa ngoma katika mikutano isiokuwa rasmi ikiwemo sherehe za kitamaduni na harusi katika jaribio la kuhifadhi mila hiyo ya zamani ambayo inajuliakana kimataifa. Makundi yote …

Read More »

Akaunti ya Twitter ya rais Trump ”yapotea kwa muda”

Akaunti ya twitter ya rais Trump ilipotoweka kwa muda Akaunti ya mtandao wa Twitter ya rais Donald Trump ilipotea kwa muda siku ya Alhamisi lakini, ikarudishwa baadaye , kampuni hiyo imesema. Twitter imesema kuwa akaunti hiyo kwa jina @realdonaldtrump iliondolewa na mfanyikazi mmoja na baadaye kuelezea kuwa ilikuwa siku yake …

Read More »

Waliombaka mpwa wao wa miaka 10 wafungwa maisha jela India

Wanaharakati wa maswala ya watotowanasema kuwa wanaotekeleza vitendo hivyoni wale wanaowalea watoto hao Mahakama moja nchini India imewahukumu watu wawili kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mpwa wao mwenye umri wa miaka 10 ambaye alijifungua mtoto wa kike mnamo mwezi Agosti. Wanaume wote wawili walikuwa wajomba wa smichana huyo. Walihukumiwa …

Read More »

Republican wabuni mbinu za marekebisho ya kodi.

Donald Trump amewekea kipaumbele marekebisho ya kodi Wanachama wa Republican nchini Marekani wamebaini mpango wa marekebisho ya kodi kubwa kwa kipindi cha miaka 30 ijayo. Marekebisho hayo ya kodi, yamekuwa kipaumbele cha ajenda za Rais Donald Trump. Mapendekezo yaliyotolewa ni pamoja na kupunguza kodi katika biashara kutoka asilimia 35 hadi …

Read More »

Wauguzi wasitisha mgomo wa miezi mitano Kenya

Viongozi wa muungano wa wauguzi wakiongozwa na katibu mkuu wa muungano huo Seth Panyako Wakenya sasa wanaweza kuwa na afueni baada ya wauguzi wanaofanya kazi katika hospitali za umma kukubali kusitisha mgomo wao uliochukua takriban miezi mitano. Katibu mkuu wa Muungano wa wauguzi {Knun} Seth Panyako aliwaambia wauguzi kurudi kazini …

Read More »

CIA yatoa faili 470,000 za Osama Bin Laden

CIA yatoa faili 470,000 za Osama Bin Laden Shirika la ujasusi la Marekani CIA limetoa karibu faili 470,000 zilizopatikana wakati wa kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa al-Qaeda Osama Bin Laden mwaka 2011. Faili hizo mpya ni pamoja na stakabadhi kuhusu mipango yake binafsi na video ya mtoto wake wa kiume …

Read More »