Home / Habari za Kimataifa (page 4)

Habari za Kimataifa

Meja Jenerali Qassem Soleimani wa Iran amuonya Trump kwamba vita ‘vitaharibu kila anachomiliki’

Kamanda wa kikosi maalum cha Iran amemuonya rais Donald Trump kwamba taifa lake litaharibu ‘kila kitu kinachomilikiwa na rais huyo’ iwapo Marekani itashambulia Iran. Meja Jenerali Qassem Soleimani aliapa kwamba iwapo bwana Trump ataanzisha vita, ‘jamhuri ya Iran itamaliza vita hivyo’, chombo cha habari cha Iran tasnim kiliripoti. Matamshi yake …

Read More »