Home / Habari za Kimataifa (page 5)

Habari za Kimataifa

Wavulana wa Thai waliokwama pangoni wazungumzia yaliotokea

Wavulana 12 waliookolewa katika pango lililojaa maji kaskazini mwa Thailand wiki iliopita wamezungumza hadharani kuhusu tukio hilo kwa mara ya kwanza wakitaja tukio hilo kuwa la miujiza wakati waogeleaji walipowapata. Adul Sam-on ,14, mwanachama wa pekee wa kundi hilo ambaye anazungumza lugha ya kiingereza aliambia waandishi wa habari kwamba aliweza …

Read More »

Trump ajichanganya na kauli yake kuhusu Urusi

Rais Donald Trump wa Marekani na Vladmir Putin wa Urusi Rais wa Marekani Donald Trump amesema anakubaliana na hitimisho lililotolewa na Taasisi za Ujasusi za nchi yake kwamba Urusi iliingilia kati uchaguzi mkuu wa nchi hiyo wa mwaka 2016. Akikanusha kauli yake aliyoitoa siku moja iliyopita baada ya mkutano wake …

Read More »