Home / Ujasiriamali

Ujasiriamali

Mtafiti: Nazi zinaweza kutajirisha Watanzania

MTAFITI Kiongozi kutoka Kituo cha Utafi ti wa Kilimo Mikocheni jijini Dar es Salaam, Dk Andrew Ngereza amesema kuwa mafuta ya mwali ya nazi, yanaweza kuwatajirisha Watanzania kwa haraka kutokana na mafuta hayo kuuzwa kwa bei ya juu. Dk Ngereza alisema kuwa lita moja ya mafuta hayo, huuzwa hadi Sh …

Read More »

Teknolojia ya matone kuinua wakulima

WAKULIMA 5,000 wa mboga wilaya ya Same, wanatarajia kubadili mfumo wa maisha yao kwa kuwa wajasiriamali wakubwa na kuendesha kilimo bora cha umwagiliaji wa matone kwa teknolojia rahisi kwa watu wa kada zote. Kilimo hicho kinatumia dumu lenye maji na mipira midogo ya maji na kusambaza katika tuta la mboga …

Read More »

FAIDA YA KUFUGA SUNGURA.

UZALISHAJI na ufugaji bora wa sungura kibiashara umewatoa kimasomaso wajasiriamali waliochangamkia na kuibuka kuwa mwarobaini wa umasikini. Ufugaji wa sungura ni shughuli ya kiuchumi inayokua kwa kasi kubwa. Sungura huzaliana ndani ya kipindi cha miezi miwili tu. Sungura huzaliana kwa kasi watoto sita hadi 10 kwa mkupuo wa kwanza. Huzaa …

Read More »

Zao la muhogo linavyoweza kupaisha uchumi wa wakulima

TANZANIA ina fursa kubwa ya kuongeza uzalishaji wa muhogo hata kuongoza katika Afrika kutokana na kuwa na utajiri wa ardhi kubwa yenye rutuba. Takwimu kutoka Wizara ya Kilimo zinaonesha mwaka 2005 Tanzania ilizalisha tani milioni 1.8 za muhogo mkavu, mwaka 2006 katika nchi nzima zilivunwa tani milioni mbili za muhogo …

Read More »

JIFUNZE KUPIKA SUPU YA KUKU NA VIAZI/MBATATA

Vipimo     Kuku                                                            4 LB   Viazi/mbatata                                              3   Kitunguu maji                                               1   Kitunguu saumu(thomu/galic)                       5 chembe   Pilipili mbichi                                                  2   Nyanya ya kusaga                                       1 kijiko cha chai   Pilipili manga ya unga                                    ½  kijiko cha chai   Haldi/tumeric/bizari ya manjano                    ¼  kijiko cha chai …

Read More »

JIFUNZE NAMNA YA KUPIKA BISKUTI ZA TENDE

Unga                                                     4 Vikombe vya chai Sukari ya laini  (icing sugar)                1 Kikombe cha chai Baking powder                                     2 Vijiko vya chai Mayai                                                    2 Siagi au margarine                             1 Kikombe cha chai Vanilla                                                 1 Kijiko cha chai Maziwa ya kuchanganyia                    kiasi Tende iliyotolewa koko                       1 Kikombe ufuta …

Read More »

ELIMU YA BIASHARA MUHIMU KWA WAJASIRIAMALI WANAWAKE

USHIRIKI wa wanawake kwenye shughuli za biashara umekuwa ukiongezeka siku hadi siku, na hii pia inachangiwa na wadau mbalimbali ambao wamekuwa wakijitokeza kuunga mkono ushirikii wao huo. Mama Graca Machel, mjane wa Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, ni mmoja kati ya wadau ambao anaona umuhimu wa …

Read More »

KILIMO CHA NYANYA

Utangulizi: Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko Amerika ya Kusini. Mmea huu ulianza kuzalishwa kama zao katika nchi ya Mexico na baadaye kusambaa katika …

Read More »