Home / Michezo / Paris, LA kuwania wenyeji wa Olimpiki

Paris, LA kuwania wenyeji wa Olimpiki

Paris na Los Angeles kuwania wenyeji wa michezo ya Olimpiki ya 2024

Jiji la Paris la nchi Ufaransa na Los Angeles la nchini Marekani ndio majiji pekee yanayowania kuwa wenyeji wa michezo ya Olimpiki na Paralimpiki ya mwaka 2024.

Kumekuwepo na mapendekezo toka kamati ya kimataifa ya Olimpic kuyapa nafasi majiji yote mawili kwa michezo ya mwaka 2024 na ile ya 2028.

Paris wameiambia kamati ya michezo hiyo kuwa wao wanavutiwa na kuandaa michezo ya mwaka 2024 tu na sio ile ya 2028.

Ratiba ya kamati ya kimataifa ya Olimpiki inaonyesha itatangaza mwenyeji wa michezo ya mwaka 2024 mwezi Septemba mwaka huu, huku majiji ya Lima, Peru, na Paris yakiwa na nafasi kubwa ya kushinda.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Man United iko mbioni kumtangaza Mkurugenzi wa michezo

Golikipa wa zamanI wa Man United Edwin Van De Sar anatajwa kuwa na nafasi kubwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *