Home / Habari za Kimataifa / Uhuru Kenyatta: Vifaa vya uchaguzi vilikuwa vichache

Uhuru Kenyatta: Vifaa vya uchaguzi vilikuwa vichache

Rais Uhuru Kenyatta na makamu wa rais William Ruto

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amelaumu idadi kubwa ya watu waliojitokeza kupiga kura kwa ghasia zilizotokea katika uteuzi wa chama hicho siku ya Ijumaa ambazo zilisababisha kufutiliwa mbali kwa shughuli yote.

Katika maeneo mengi nchini humo kulikuwa na uchelewashaji wa vifaa vya kupiga kura huku ghasia pia zikiripotiwa katika huku wagombea wakilaumiana kwa wizi wa kura.

Rais Kenyatta amekiri kwa maripota kulikuwa hakuna vifaa vya kutosha vya uchaguzi huo.

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya anasema kuwa kujitokea kwa wapiga kura wengi ndio kulikotatiza ghasia

Uchaguzi huo ni maandalizi ya uchaguzi mkuu mnamo mwezi Agosti ambao utafanyika takriban miaka kumi kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi uliowaacha baada ya uchaguzi uliokumbwa na ghasia na kusababisha vifo vya takriban watu 1000 huku wengine nusu miliioni wakiwachwa bila makao.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Mbunge Bobi Wine akamatwa Uganda baada ya dereva wake kuuawa

  Boni Wine Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine amekamatwa na polisi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *