Home / Michezo / Mshambuliaji wa Chelsea Tammy Abraham ajiunga na Swansea kwa mkopo

Mshambuliaji wa Chelsea Tammy Abraham ajiunga na Swansea kwa mkopo

Tammy Abraham

Klabu ya Swansea City imekubali kumasajili mshambuliaji Tammy Abraham kwa mkopo kutoka Chelsea kwa msimu wa 2017-2018.

Swansea wamekabili upinzani kutoka kwa Newcastle na Brighton kwa mshambuliaji huyo wa miaka 19 ambaye alifunga mabao 23 katika mechi 40 akiwa kwenye mkopo na klabu ya Bristol City msimu wa 2016-2017.

Man City haina nia ya kumuuza Sergio Aguero

Mpango huo unatarajiwa kukamilika leo.

Abraham alifanya kazi na Paul Clement wakati meneja huyo wa Swansea alikuwa kocha huko Stamford Bridge.

Tammy Abraham alifunga mabao 23 katika mechi 40 akiwa kwenye mkopo na klabu ya Bristol City

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Willian anasema hakuna sababu ingemfanya kusalia Chelsea iwapo Antonio Conte angebakia

Willian alifunga magoli 13 na kutoa pasi 12za usaidizi katika mechi 55 za Chelsea msimu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *