Home / Habari za Kimataifa / Mwanafunzi anayeshukiwa kuanzisha moto shuleni Nairobi afikishwa mahakamani

Mwanafunzi anayeshukiwa kuanzisha moto shuleni Nairobi afikishwa mahakamani

Mahakamani Nairobi
Msichana mmoja wa shule amefikishwa mahakamni katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, kwa kushukiwa kuanzisha moto uliotokea kwenye shule moja mwishoni mwa wiki iliyipita ambapo wanafunzi 9 walifariki.
Wanafunzi 7 wafariki katika moto uliochoma bweni Kenya
Msichana huyo amefikiswa katika mahakama inayohudumia kesi za watoto kwa sababu bado hajahitimu umri wa maika 18 ya kushtakiwa katika mahakama ya kawaida.

Baadhi ya wazazi waliofika katika shule hiyo kuwachukua wana wao
Jaji ameamua kuwa msichana huyo atazuiliwa korokoroni kwa muda wa siku 7 wakati uchunguzi ukiendelea kufanywa
Moto uliowaua wanafunzi 9 wa shule Nairobi ulianzishwa makusudi
Siku ya Jumatatu waziri wa elimu Fred Matiangi alisema kwa kisa hicho cha shule ya wasichana ya Moi hakikuwa ajali bali kilisabishwa makusudi.

Magari ya kukabiliana na dharura yalifilka katika shule kuswanusuru walioathirika
“Kumekuwa na misururu ya visa kama hivyo vya moto shuleni sehemu kadhaa za kenya,
“Uchunguzi zaidi umefanyika na ninaweza kuwambia baada ya kushauriwa na polisi kuwa ile haikuwa ajali,” Matiang’i aliuambia mkutano wa waandishi wa habari

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Mbunge Bobi Wine akamatwa Uganda baada ya dereva wake kuuawa

  Boni Wine Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine amekamatwa na polisi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *