Home / Michezo / Chelsea kukabiliana na ManCity

Chelsea kukabiliana na ManCity

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte kulia na Pep Guardiola wa Manchester City kushoto
Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard huenda akashiriki katika mechi yake ya kwanza msimu huu , huku Pedro naye pia akitarajiwa kuchezeshwa baada ya kupumzishwa katikati ya wiki.
David Luiz atalazimika kukamilisha marufuku ya mechi tatu aliyopigwa huku Drink Water akiendelea kuuguza jeraha lake la mguu
Manchester City nayo itamkosa mshambuliaji wake matata Sergio Aguero ambaye alipata majeraha ya mbavu kufuati ajali ya gari huko Amstaerdam siku ya Alhamisi.
Benjamin Mendy anauguza jeraga la mguu huku Vincest Kompany akiuguza jeraha la kifundo cha mguu.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Man United iko mbioni kumtangaza Mkurugenzi wa michezo

Golikipa wa zamanI wa Man United Edwin Van De Sar anatajwa kuwa na nafasi kubwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *