Home / Habari za Kimataifa / WHO lamteuwa Mugabe kuwa balozi mwema wa afya

WHO lamteuwa Mugabe kuwa balozi mwema wa afya

Rais Robert MUgabe ateuliwa kuwa balozi mwema wa fya na shirika la afya duniani WHO
Shirika la afya duniani WHO limemteuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kama ‘balozi mwema ‘ katika kusaidia kukabiliana na magonjwa yaliyosahaulika .
Akifafanua uamuzi wa uteuzi huo , Mkurugenzi mkuu mpya wa W.H.O., Dr Tedros Adha-nom Ghebre-yesus, alisifu namna Zimbabwe inavyozingatia afya ya umma.
Lakini wakosoaji wanasema katika kipindi cha miaka thelathini na saba ya utawala wa rais Mugabe, huduma za afya zimekuwa mbaya ambapo wahudumu wa afya wamekuwa hawalipwi mara kwa mara , na kumekuwa na ukosefu mkubwa wa dawa muhimu .
Mugabe: ”Naombewa nife”
Mugabe: ”Nilikufa kisha nikafufuka”
Mugabe: Waliowaua wazungu hawatashtakiwa
Mwanafunzi aliyempinga Mugabe akamatwa

Wakosoaji wanasema kuwa sekta ya afya ya Zimbabwe imekuwa aiafikii viwango vya afya nchini humo
Dr .Tedros, ni raia wa Ethiopia ambaye ni Muafrika wa kwanza kuongoza shirika la W.H.O. na alichaguliwa kwa ajili ya kukabiliana na kile kilichoaminiwa kuwa ni kugeuzwa kwa shirika hilo kuwa la kisiasa

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Mbunge Bobi Wine akamatwa Uganda baada ya dereva wake kuuawa

  Boni Wine Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine amekamatwa na polisi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *