Home / Habari za Kimataifa / Wafugaji wa Kenya wapata hasara kwa kuingiza ng’ombe wao Tanzania

Wafugaji wa Kenya wapata hasara kwa kuingiza ng’ombe wao Tanzania

Kutokana na ukame unaendelea katika baadhi ya maeneo nchini Kenya imelazimisha baadhi ya wafugaji kuvusha mifugo yao kuingia nchi jirani ya Tanzania .

Serikali ya Tanzania inasema hatua hiyo ni kinyume cha sheria kwa madai kwamba wafugaji hao wanapaswa kupata kibali kwanza cha kuingiza mifugo yao kwenye nchi jirani.

Tayari serikali ya Tanzania imeanza operesheni ya kuwarudisha wafugaji wasio na kibali na mifugo yao kule walikotoka kama anavyoarifu mwandishi wetu Imanuel Igunza.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Mohamed Bin Salman

CIA ‘yamlaumu mwanamfalme wa Saudia ‘

Shirika la ujasusi la Marekani(CIA) linaamini kuwa Mwanamfalme Mohammed bin Salman wa Saudi Arabia ndiye …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *