Home / Michezo / Samatta, Olunga na Onyango kuwania taji la mchezaji bora Afrika

Samatta, Olunga na Onyango kuwania taji la mchezaji bora Afrika

Mbwana Samatta wa Tanzania
Denis Onyango wa Uganda, Mbwana Samata wa Tanzania na Micheal Olunga wa Kenya wameteuliwa kuwania taji la mchezaji bora barani Afrika 2017.
Watatu hao nndio wachezaji kutoka eneo la Afrika mashariki ambao wameorodheshwa katika orodha ya wachezaji 30 iliotolewa na shirikisho la soka barani Afrika Caf.
Mshindi ataamuliwa kupitia kura kutoka makocha wakurugenzi wa kiufundi na miungano ya kitaifa inayoshirikiana na Caf, wanachama wa kamati ya kiufunzi na maendeleo ya Caf pamoja na jopo la wanahabari.

Mshambuliaji wa Kenya Michael Olunga anayechezea klabu ya Girona Uhispania
Winga wa Algeria na Leicester Riyad Mahrez ndio bingwa mtetezi wa taiji hilo baada ya kumshinda Pierre Emerick Aubameyang na Sadio Mane. Sherehe hiyo itafanyika tarehe 4 siku ya Alhamisi 2018 mjini Accra, Ghana.
Walioteuliwa katika orodha hiyo ni:
1. Ali Maaloul (Tunisia na Al Ahly)
2. Bertrand Traore (Burkina Faso na Lyon)
3. Cedric Bakambu (DR Congo na Villareal)
4. Christian Atsu (Ghana na Newcastle)
5. Christian Bassogog (Cameroon na Henan Jianye)
6. Denis Onyango (Uganda na Mamelodi Sundowns)
7. Eric Bailly (Cote d’Ivoire na Manchester United)
8. Essam El Hadary (Egypt na Al Taawoun)
9. Fabrice Ondoa (Cameroon na Sevilla)
10. Fackson Kapumbu (Zambia na Zesco)
11. Jean Michel Seri (Cote d’Ivoire na Nice)
12. Junior Kabananga (DR Congo na Astana)
13. Karim El Ahmadi (Morocco na Feyenoord)
14. Keita Balde (Senegal na Monaco)
15. Khalid Boutaib (Morocco na Yeni Malatyaspor)
16. Mbwana Samata (Tanzania na Genk)
17. Michael Olunga (Kenya na Girona)
18. Mohamed Salah (Egypt na Liverpool)
19. Moussa Marega (Mali na Porto)
20. Naby Keita (Guinea na RB Leipzig)
21. Percy Tau (South Africa na Mamelodi Sundowns)
22. Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon na Borussia Dortmund)
23. Sadio Mane (Senegal na Liverpool)
24. Thomas Partey (Ghana na Atletico Madrid)
25. Victor Moses (Nigeria na Chelsea)
26. Vincent Aboubakar (Cameroon na Porto)
27. William Troost-Ekong (Nigeria na Bursaspor)
28. Yacine Brahimi (Algeria na Porto)
29. Youssef Msakni (Tunisia na Al Duhail)
30. Yves Bissouma (Mali na Lille)

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Nyota wa Afrika wamkumbuka mmiliki wa Leicester City Vichai Srivaddhanaprabha

Riyad Mahrez (kushoto) ni mmoja ya walitoa heshima zao kwa Vichai Srivaddhanaprabha Wachezaji wa Kiafrika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *