Home / Habari Za Kitaifa / Serikali yaibuka kidedea kesi dhidi ya maudhui mtandaoni

Serikali yaibuka kidedea kesi dhidi ya maudhui mtandaoni

Serikali imeshinda kesi iliyofunguliwa na wadau wa habari nchini kupinga Kanuni mpya za Maudhui Mitandaoni (Online Content Regulations).

Mahakama Kuu imekubaliana na hoja za  Mawakili wa Serikali kuwa walalamikaji wameshindwa kuithibitisha  jinsi gani Kanuni hizo zitaathiri haki za msingi za Walalamikaji katika masuala ya habari na mawasiliano ya mitandaoni.

Kesi hiyo Na. 12/2018 ilifunguliwa Mahakama Kuu, Kanda ya Mtwara na Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu na walalamikaji wengine watano dhidi ya Serikali.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Historia ya marehemu Isaac Nyagabona Muyenjwa Gamba

HISTORIA YA MAREHEMU ISAAC NYAGABONA MUYENJWA GAMBA. Ratiba Kwa Ufupi Jumatatu Alfajiri – Kupokea Mwili Airport …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *