Home / Habari Za Kitaifa / Makundi ya asasi yakijamii Tanzania yatoa msaada

Makundi ya asasi yakijamii Tanzania yatoa msaada

Leo tarehe 7 mwezi wa saba, 2018 makundi ya asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania, Watoto ni Amana (Friends of Fatema), Mtanzania jitambue pamoja na kitengo cha salama Salmini waliungana pamoja kukabidhi Tank ya maji kwa shule ya walemavucha Salvation.
Pamoja na kukabidhi Tank hiyo, waliongea na watoto kuhusu usalama wakati wakucheza na usalama wakiwa barabarani.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Historia ya marehemu Isaac Nyagabona Muyenjwa Gamba

HISTORIA YA MAREHEMU ISAAC NYAGABONA MUYENJWA GAMBA. Ratiba Kwa Ufupi Jumatatu Alfajiri – Kupokea Mwili Airport …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *