Home / Habari Za Kitaifa / MKAPA ATUA SIMIYU KUFUNGA MAONESHO YA NANENANE

MKAPA ATUA SIMIYU KUFUNGA MAONESHO YA NANENANE

RAIS Mstaafu awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa amewasili mkoani Simiyu leo Jumanne kwa ajili ya kufunga sherehe za Wakulima maarufu kama ‘Nanenane’ kesho Jumatano.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka amempokea kiongozi huyo mstaafu ambaye wakati wa utawala wake alikuwa akisisitiza ‘Uwazi na Uwajibikaji”.

“Rais Dkt. John Maguguli amemuomba Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa kuja kumwakilisha kwa uzito wa juu kabisa katika kuhitimisha maonesho yetu ya kilimo-biashara.

Maonesho ya wakulima ya Nane Nane kwa mara ya kwanza yamefannyika mkoani Simiyu katika wilaya ya Baradi, katika viwanja vya Nyakabindi, ikiwa ni maonesho ya Kanda ya Ziwa Victoria (Mashariki) ikijumuisha mikoa ya Simiyu, Mara na Geita.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Historia ya marehemu Isaac Nyagabona Muyenjwa Gamba

HISTORIA YA MAREHEMU ISAAC NYAGABONA MUYENJWA GAMBA. Ratiba Kwa Ufupi Jumatatu Alfajiri – Kupokea Mwili Airport …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *