Home / Michezo / Bournemouth wachomoa na kula jogoo wa Anfield

Bournemouth wachomoa na kula jogoo wa Anfield

Nathan Ake ameibuka shujaa wa AFC Bournemouth kwa kufunga bao dakika za majeruhi na kuipa timu yake ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Liverpool.

Cook alifunga bao hilo dakika ya 92 katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Uingereza.

Kabla ya hapo, Steve Cook alikuwa ameisawazishia Bournemouth na kufanya matokeo kuwa 3-3 dakika ya 79.

Ryan Fraser alifanya mambo kuwa 3-2 na baada ya Emre Can kufunga bao la tatu la Liverpool.

Liverpool walikwenda mapumziko wakiwa wanaongoza kwa mabao mawili 2-0 yaliyofungwa na Divorck Origi na Sadio Mane lakini Callum akapunguza deni dakika ya 56 kwa bao la mkwaju wa penati.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Willian anasema hakuna sababu ingemfanya kusalia Chelsea iwapo Antonio Conte angebakia

Willian alifunga magoli 13 na kutoa pasi 12za usaidizi katika mechi 55 za Chelsea msimu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *