Home / Habari za Kimataifa / MJI WA MOSUL KUKOMBOLEWA KWA WIKI MBILI

MJI WA MOSUL KUKOMBOLEWA KWA WIKI MBILI

Kiongozi wa kikosi cha marekani nchini Iraq Generali Stephen Townsend amesema zinahitajika wiki mbili kuweza kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwa wapiganaji wa kiislam (IS). Kikosi hicho kinasaidia wanajeshi wa iraq katika mapigano makali yanayoendelea kwa takribani wiki kadhaa. Generali Townsend amesema anaamini wapiganaji wakiislam wanafahamu wazi kuwa watapoteza miji yote wanayoishikilia,na kuhamishia maasi yao mafichoni. Kiongozi huyo pia amesema watashambulia nchi za magharibi mpaka watakapokamilisha kazi yao.

SOURCE BBC SWAHILI

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

India:Polisi waamriwa kupunguza uzito vinginevyo wafukuzwe kazi

Maafisa wa Polisi wameamriwa kupunguza uzito Idara ya polisi nchini India imewaamuru maafisa wake kupunguza …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *