Home / Michezo / Yanga SC yafa kwa 2-0 kwa JKU

Yanga SC yafa kwa 2-0 kwa JKU

Kikosi cha Yanga SC dhidi ya JKU mchezo uliochezwa uwanja wa Uhuru na JKU kuibuka na ushindi wa magoli mawili kwa bila.
Mechi hii ilikuwa maalumu kwa mwalimu kukiona kikosi chake pia kujua uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kwa kuwa ni kikosi kipya kwake.
“Nimefurai sana kuwaona vijana wangu wakionyesha jitihada pia kwangu mimi mchezo huu haukuwa kwajili ya kupata matokeo ila ulikuwa mchezo wakuona wachezaji wangu na kujua wapi niongeze au wapi nipunguze kwa kile ninacho kifundisha mazoezini kabla ya mzunguko wa pili ya ligi kuanza.”alisema Kocha Lwandamila.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Nyota wa Afrika wamkumbuka mmiliki wa Leicester City Vichai Srivaddhanaprabha

Riyad Mahrez (kushoto) ni mmoja ya walitoa heshima zao kwa Vichai Srivaddhanaprabha Wachezaji wa Kiafrika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *