Home / Ujasiriamali / JIFUNZE NAMNA YA KUPIKA BISKUTI ZA TENDE

JIFUNZE NAMNA YA KUPIKA BISKUTI ZA TENDE

Unga                                                     4 Vikombe vya chai

Sukari ya laini  (icing sugar)                1 Kikombe cha chai

Baking powder                                     2 Vijiko vya chai

Mayai                                                    2

Siagi au margarine                             1 Kikombe cha chai

Vanilla                                                 1 Kijiko cha chai

Maziwa ya kuchanganyia                    kiasi

Tende iliyotolewa koko                       1 Kikombe

ufuta (sasame) kiasi                           1/4  kikombe 

 

NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA
 

  1. Changanya unga, siagi, baking powder, na sukari katika mashine.
  2. Kisha tia mayai, vanilla na halafu maziwa kidogo kidogo hadi mchanganyiko ushikamane.

 

  1. Gawanya madonge mawili na usukume kama chapati, lakini sio nyembamba sana.

 

  1. Tandaza tende robo ya duara na unyunyize ufuta duara zima: kisha kunja hadi mwisho na ukate kate, kisha upange katika trei ya kuvumbika.

 

  1. Vumbika (bake)  moto wa 350°F kwa muda wa dakika 20 au hadi vigeuke rangi na viwive.

 

  1. Zikisha iiva ziache zipowe na zitakuwa tayari kuliwa.

 

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Zao la muhogo linavyoweza kupaisha uchumi wa wakulima

TANZANIA ina fursa kubwa ya kuongeza uzalishaji wa muhogo hata kuongoza katika Afrika kutokana na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *