Home / Habari za Kimataifa / MSHAMBULIAJI AVURUMISHA LORI KWA WANAJESHI ISRAEL.

MSHAMBULIAJI AVURUMISHA LORI KWA WANAJESHI ISRAEL.

Picha zilionyesha gari lililokuwa na mashimo ya risasi kwenye kioo

Polisi wa Israil wanasema kuwa lori limevurumishwa mbele ya kundi la wanajeshi, mjini Jerusalem wakati wanajeshi hao wakiteremka kutoka basi.

Vyombo vya habari vya huko vinasema watu kama wane wameuwawa, na wengine kadha walijeruhiwa.

Inaarifiwa kuwa dereva wa lori alipigwa risasi na kuuwawa.

Natenyahu aipinga hotuba ya Kerry kuhusu makaazi
Netanyahu: Moto mkubwa Israel umesababishwa makusudi

Polisi wanasema wanashuku kwamba lilikuwa shambulio la kigaidi.

Katika miezi 15 iliyopita, WaPalestina wamefanya mashambulio mengi dhidi ya Wa-Israil mara nyingi wakitumia visu.

SOURCE BBC SWAHILI.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

DSTV, AZAM na ZUKU zatakiwa kuonyesha bure vipindi vya stesheni za Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania ,Dr.Harrison Mwanyembe Waziri wa Habari, Utamaduni, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *