Home / Habari za Kimataifa / BUHARI NA MATUMAINI YA KUPATIKANA, WASICHANA WA CHIBOK.

BUHARI NA MATUMAINI YA KUPATIKANA, WASICHANA WA CHIBOK.

Wasichana wa Chibok

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari anamatumaini juu ya kuachiliwa kwa wanafunzi wa kike 95 ambao bado wanashikiliwa na Boko Haram.

Ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya siku elfu moja tangu kukamatwa na kundi hilo la wapiganaji, zaidi ya wasichana laki mbili kutoka mji wa Chibok, Aprili 2014, hali iliyosababisha, tukio hilo kufuatiliwa na vyombo vya habari vya kimataifa.

Zaidi ya wasichana 20 wameokolewa ama kupatikana toka wakati huo, ikiwemo mwingine mmoja aliyepatikana wiki iliyopita.

Katika Hotuba yake Rais Buhari amesema, Nigeria haitaacha kuwalilia watoto hao ambao bado wanashikiliwa.

SOURCE BBC SWAHILI.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Mbunge Bobi Wine akamatwa Uganda baada ya dereva wake kuuawa

  Boni Wine Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine amekamatwa na polisi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *