Home / Habari za Kimataifa / ISRAEL KUJENGA NYUMBA 560 KWA WALOWEZI MASHARIKI MWA JERUSALEM.

ISRAEL KUJENGA NYUMBA 560 KWA WALOWEZI MASHARIKI MWA JERUSALEM.

Wakuu wa Israel wameidhinisha ujenzi wa nyumba 560 kwa ajili ya walowezi, mashariki mwa Jerusalem.

Naibu wa meya wa Jerusalem Meir Turjeman, alisema idhini hiyo ilichechelewa kufuatia ombi la waziri mkuu, Benjamin Netanyahu, baada ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, lilopinga ujenzi wa makaazi hayo.

Marekani haikupinga azimio hilo kwa kura yake ya turufu.

Wapalestina wanatumai kuwa Jerusalem Mashariki itakuwa mji mkuu wa taifa lao litakapoundwa siku za mbele.

SOURCE BBC SWAHILI.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Mbunge Bobi Wine akamatwa Uganda baada ya dereva wake kuuawa

  Boni Wine Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine amekamatwa na polisi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *