Home / Habari za Kimataifa / TRUMP: TUTAJENGA UKUTA KATIKA MPAKA NA MEXICO.

TRUMP: TUTAJENGA UKUTA KATIKA MPAKA NA MEXICO.

Ukuta utakaojengwa katika mpaka wa Marekani na Mexico

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa siku kuu kuhusu usalama wa Marekani imepangwa ikiwemo tangazo la kujenga ukuta kati ya Marekani na Mexico.

Donald Trump amesema kuwa ujenzi wa ukuta mrefu wa wenye maili 2000 katika mpaka wa Mexico ni miongoni mwa mapendekezo yake wakati wa kampeni za urais.

Rais Donald Trump wa Marekani na mkewe Melanie

Kutakuwa na mikakati ambayo pia italazimu miji mitakatifu nchini Marekani kushirikiana na mamlaka katika kuwarejesha makwao wahamiaji haramu.

Miji mitakatifu ni maeneo ambayo hayawakamati ama kuwazuilia wahamiaji wanaoishi katika taifa hilo kinyume na sheria.

SOURCE BBC SWAHILI.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Mbunge Bobi Wine akamatwa Uganda baada ya dereva wake kuuawa

  Boni Wine Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine amekamatwa na polisi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *