Home / Habari za Kimataifa / MLIPUKO WA UGONJWA WA MANJANO BRAZIL, VIFO VYAONGEZEKA.

MLIPUKO WA UGONJWA WA MANJANO BRAZIL, VIFO VYAONGEZEKA.

Brazili kupambana na ugonjwa wa manjano

Maafisa nchini Brazil wameamuru kufanyika kwa takriban chanjo milioni 11 na nusu ya homa ya manjano.

Taifa hilo kwa sasa linakabiliwa na mlipuko mkubwa wa ugonjwa huo.

Wizara ya afya nchini humo imethibitisha wagonjwa 70 wa ugonjwa huo na vifo vya watu 40 katika maeneo ya mashambani katika jimbo la Minas Gerais.

Mamia ya wagonjwa wamekuwa wakichunguzwa kama wameambukizwa na ugonjwa huo.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

DSTV, AZAM na ZUKU zatakiwa kuonyesha bure vipindi vya stesheni za Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania ,Dr.Harrison Mwanyembe Waziri wa Habari, Utamaduni, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *