Home / Habari za Kimataifa / POLISI WAPELEKWA VYUO VIKUU AFRIKA KUSINI.

POLISI WAPELEKWA VYUO VIKUU AFRIKA KUSINI.

Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Afrika Kusini wakiandamana wakipinga kupanda kwa karo

Mamlaka nchini Afrika Kusini imewapeleka maafisa wa polisi katika baadhi ya vyuo vikuu ili kusaidia maandamano ya wanafunzi wakati wa ufunguzi wa vyuo hivyo.

Maelfu ya wanafunzi waliandamana mwezi Oktoba ili kupinga hatua ya serikali ya kuongeza karo kwa mwaka.

Wanafunzi hao wametaka kupewa elimu ya bila malipo.

Mwandishi wa BBC mjini Johannesburg anasema kuwa viongozi kadhaa wa wanafunzi waliokamatwa wakati wa maandamano hayo bado wanakabiliwa na mashtaka.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

DSTV, AZAM na ZUKU zatakiwa kuonyesha bure vipindi vya stesheni za Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania ,Dr.Harrison Mwanyembe Waziri wa Habari, Utamaduni, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *