Home / Habari za Kimataifa / BARAZA LA MAKARDINALI LAMSHANGAA PAPA.

BARAZA LA MAKARDINALI LAMSHANGAA PAPA.

Papa Francis

Baraza kuu la ushauri linaloongozwa na kiongozi mkuu wa kanisa katoliki ulimwenguni Papa Francis , limechukua hatua isiyokuwa ya kawaida ya kutoa taarifa yenye kuonesha kuwa linamuunga mkono.

Hali hiyo inafuatia upinzani wa dhahiri dhidi ya uongozi wa Papa Francis kutoka kwa makundi mbalimbali wakiwemo makardinali wanne wa kihafidhina ambao kwa uwazi mkubwa walihoji juu ya misimamo ya papa huyo juu ya talaka kwa wakatoliki.

Katika taarifa yake, mshauri mwandamizi wa baraza la ushauri la Makardinali walirejelea tukio la hivi karibuni ingawa hawakufafanua zaidi, wakitilia maanani suala hilo kuwa linamuunga mkono papa na mafundisho yake.

SOURCE BBC SWAHILI.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

DSTV, AZAM na ZUKU zatakiwa kuonyesha bure vipindi vya stesheni za Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania ,Dr.Harrison Mwanyembe Waziri wa Habari, Utamaduni, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *