Home / Habari za Kimataifa / BWAWA LA ETHIOPIA LASABABISHA UPUNGUFU WA MAJI KENYA.

BWAWA LA ETHIOPIA LASABABISHA UPUNGUFU WA MAJI KENYA.

Picha za satelite za Gibe III na za Ziwa Turkana.

Bwawa kubwa lililojengwa nchini Ethiopia limesababisha upungufu mkubwa wa maji kwenye ziwa Turkana kaskanzi mwa Kenya.

Hali hiyo pia imetishia maisha ya takriban watu 500,000 ndani ya nchi hizo mbili kwa mujibu wa shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch.

Human Rights Watch ilitoa picha za satellite zinazoonyesha kuongezeka kwa maji karibu na bwawa na kupungua kwa katika kingo za ziwa Turkana.

Bwawa la Gibe III pamoja na mashamba makubwa ya miwa yamesababisha kushuka kwa kiwango cha maji ya ziwa Turkana kwa mita 1.5 kutoka viwango vya awali.

Katika sehemu nyingi picha hizo zinaonyeha maji yakiwa yamepungua umbali wa kimomita 1.7.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Mbunge Bobi Wine akamatwa Uganda baada ya dereva wake kuuawa

  Boni Wine Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine amekamatwa na polisi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *