Home / Habari Za Kitaifa / KINARA WA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII AKAMATWA JIJINI DAR

KINARA WA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII AKAMATWA JIJINI DAR

Kikosi Maalum cha Kupamba na na uhalifu kwa njia ya Mitandao cha Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam, kimefanikiwa kumkamata mtuhumiwa OMARY ABEDI BAKARI (23).

Omary Abedi Bakari ni mwanafunzi wa zamani wa University of Dar Es Salaam Computing Center (UCC) iliyopo Mbezi, aliyefukuzwa kazi na mkazi wa maeneo ya JKT Mgulani Quotes.

SOURCE HABARI LEO

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

CCM YASHINDA UBUNGE, UDIWANI KWA 100%

CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimeshinda kwa asilimia 100 kwenye uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Buyungu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *